MUULIZE KWANZA KODI YAKE INAISHA LINI ?bado sana mkuu mpaka tufike huko nazani nimaamuzi magum ila kamkataba kako kama vile nikazuri sana
poa mkuuumeandika vizuri mpaka bas mkuu hongera zako asee
mpotezee tu wngine wamesema utakosa uhuru na mimi hiyo ndiyo wasi wasi wangu mkubwa mawivu ya kijinga kama umeoa vile na atahamia kwako ........... halafu nimewazaUSIKUTE KODI YAKE INAKARIBIA KUISHA UINGIE MKENGE IWE KIMOJA HA AHA HAHAHAHA
Waungwana natumai muwazima, wengi wenu naamin mmelala mida hii mwenzenu nimekosa usingizi kabisa, Ninakoishi tuko wapangaji watatu nyumba ziko tatu ndani ya uzio mmoja, Tuko mabachela wote mimi ndio dume wengine wawili ni wadada mmoja anaishi na mdogo wake mwingine anaishi peke yake, Hatuonani kirahis kulingana na ratiba za kaz zetu, Ila kama weekend wote twaweza kuwa home mida ya mchana na hapo tunapata nafas japo kusalimiana na kubadilishana mawasiliano
Kwanini nimekosa usingiz
Jana nlikuwa stressed kiasi, so baada ya kaz nlirudi home nikaoga nikatoka kwenda kulewa japo sio kawaida yangu kulewa ila nakunywa, Sasa kilichotokea nikwamba nilitoka nakuacha funguo zangu upande wa ndani wa geti nikaondoka nikiwa baaa jirani yangu akanitext kuna funguo nimezikuta getin kwa ndani nizakwako ? kujichek nikajikuta siko na funguo kweli, nikamjib yes nizangu please nihifadhie
Funguo alibaki nazo mimi nikaendelea kupombeka mpaka saa tano usiku nikarudi home, wakati naanza kuja nikamtext jirani nikifika please nifungulie geti, kweli ilikuwa hivo kufika tu hata sijapark jiran yangu kafungua get sikuamin macho yangu nahis kama pombe ilikata
Japo nilikuwa nimewasha bim light tu macho yaliweza tambua vitu vya ajabu ajabu mbele yangu, Jiran alikuwa na kinguo mithil ya khanga nazan ni part ya mtandio wa dera au kitu kama icho, ndan alikuwa na chupi tu, kwakweli nlijihis nywele kusisimka moyo kwenda mbio na kupata joto la ajabu na fraa ya ghafla
Niliingiza gari jiran akafunga gate tukasalimiana hapo akanipatia funguo zangu, kidogo nlimtania kwa kumsifia tukacheka kila mtu akaingia kulala
Wadau hapa nifanyeje maana nimeingia ndani nahis kama nina mchecheto flan amazing sijielewi elewi flan sijui ni ushamba ama laa,
Toa maoni huyu jirani nimfanyeje mdada kaumbika hatar hatar
ha ahahha chunguza hilo kwanza ha hahahaHahahahahahahaahah madam unaakil zakiume flan asee, kwenye issue ya vyeti fek aliniomba nimkopeshe kiasi flan cha pesa, mimi nikahis mmm asije akawa ni kati ya wale ambao wanatakiwa wabadili style ya maisha kwa kurudi mtaani nikamjib kirahis sana mambo sio mazuri sina pesa, akaridhika
hii post hajaandika akiwa amelewaTulia pombe ikishakutoka kichwani utapata jibu sahihi umfanye nini
Waungwana natumai muwazima, wengi wenu naamin mmelala mida hii mwenzenu nimekosa usingizi kabisa, Ninakoishi tuko wapangaji watatu nyumba ziko tatu ndani ya uzio mmoja, Tuko mabachela wote mimi ndio dume wengine wawili ni wadada mmoja anaishi na mdogo wake mwingine anaishi peke yake, Hatuonani kirahis kulingana na ratiba za kaz zetu, Ila kama weekend wote twaweza kuwa home mida ya mchana na hapo tunapata nafas japo kusalimiana na kubadilishana mawasiliano
Kwanini nimekosa usingiz
Jana nlikuwa stressed kiasi, so baada ya kaz nlirudi home nikaoga nikatoka kwenda kulewa japo sio kawaida yangu kulewa ila nakunywa, Sasa kilichotokea nikwamba nilitoka nakuacha funguo zangu upande wa ndani wa geti nikaondoka nikiwa baaa jirani yangu akanitext kuna funguo nimezikuta getin kwa ndani nizakwako ? kujichek nikajikuta siko na funguo kweli, nikamjib yes nizangu please nihifadhie
Funguo alibaki nazo mimi nikaendelea kupombeka mpaka saa tano usiku nikarudi home, wakati naanza kuja nikamtext jirani nikifika please nifungulie geti, kweli ilikuwa hivo kufika tu hata sijapark jiran yangu kafungua get sikuamin macho yangu nahis kama pombe ilikata
Japo nilikuwa nimewasha bim light tu macho yaliweza tambua vitu vya ajabu ajabu mbele yangu, Jiran alikuwa na kinguo mithil ya khanga nazan ni part ya mtandio wa dera au kitu kama icho, ndan alikuwa na chupi tu, kwakweli nlijihis nywele kusisimka moyo kwenda mbio na kupata joto la ajabu na fraa ya ghafla
Niliingiza gari jiran akafunga gate tukasalimiana hapo akanipatia funguo zangu, kidogo nlimtania kwa kumsifia tukacheka kila mtu akaingia kulala
Wadau hapa nifanyeje maana nimeingia ndani nahis kama nina mchecheto flan amazing sijielewi elewi flan sijui ni ushamba ama laa,
Toa maoni huyu jirani nimfanyeje mdada kaumbika hatar hatar
Kaka Ulitaka Usiku huyo Mdada avae Gagulo au Gunia? Yaani hizo Pombe ndio zimekupa Mchecheto au? Hakuna wa Kukushauri hapa acha Uzwazwa, Yaani umeona tu Transparency ya Kanga unaleta hapa kama vile ni kitu cha ajabu kwa mdada kukivaa.. Hilo ni Pepo la Ngono lililo catalyised na Pombe...Hukupiga Punyeto kweli
Sasa chupi kwenye kamba ...nisawa nakuiona papuchi imevimba kwenye chupi???hapo umeiona chupi kwa ndani tu je ungeikuta chupi imeanikwa kwenye kamba pekeyake si ndo ungewehuka
huo mkataba mnatakiwa wote mridhie lakini si wewe umdanganye unampenda kumbe lengo lako ni kupunguza protin.. ukiona hakubali acahana nae tuAkili zako ni hatar sana huo mkataba wa kwanza kama vile umeainisha mambo ambayo hayatahusika sasa pesa za kodi siyo moja wapo ?
mpotezee tu sababu kuna njia nyingi yakukuganda moja nyepesi na rahisi kukutegeshea mimba ha hahahaHahahahahahaha aisee hapo mbona kama ntakuwa rude flan madam ?