Umba Tuku
JF-Expert Member
- Feb 4, 2017
- 2,101
- 1,271
Waungwana natumai muwazima, wengi wenu naamin mmelala mida hii mwenzenu nimekosa usingizi kabisa, Ninakoishi tuko wapangaji watatu nyumba ziko tatu ndani ya uzio mmoja, Tuko mabachela wote mimi ndio dume wengine wawili ni wadada mmoja anaishi na mdogo wake mwingine anaishi peke yake, Hatuonani kirahis kulingana na ratiba za kaz zetu, Ila kama weekend wote twaweza kuwa home mida ya mchana na hapo tunapata nafas japo kusalimiana na kubadilishana mawasiliano
Kwanini nimekosa usingiz
Jana nlikuwa stressed kiasi, so baada ya kaz nlirudi home nikaoga nikatoka kwenda kulewa japo sio kawaida yangu kulewa ila nakunywa, Sasa kilichotokea nikwamba nilitoka nakuacha funguo zangu upande wa ndani wa geti nikaondoka nikiwa baaa jirani yangu akanitext kuna funguo nimezikuta getin kwa ndani nizakwako ? kujichek nikajikuta siko na funguo kweli, nikamjib yes nizangu please nihifadhie
Funguo alibaki nazo mimi nikaendelea kupombeka mpaka saa tano usiku nikarudi home, wakati naanza kuja nikamtext jirani nikifika please nifungulie geti, kweli ilikuwa hivo kufika tu hata sijapark jiran yangu kafungua get sikuamin macho yangu nahis kama pombe ilikata
Japo nilikuwa nimewasha bim light tu macho yaliweza tambua vitu vya ajabu ajabu mbele yangu, Jiran alikuwa na kinguo mithil ya khanga nazan ni part ya mtandio wa dera au kitu kama icho, ndan alikuwa na chupi tu, kwakweli nlijihis nywele kusisimka moyo kwenda mbio na kupata joto la ajabu na fraa ya ghafla
Niliingiza gari jiran akafunga gate tukasalimiana hapo akanipatia funguo zangu, kidogo nlimtania kwa kumsifia tukacheka kila mtu akaingia kulala
Wadau hapa nifanyeje maana nimeingia ndani nahis kama nina mchecheto flan amazing sijielewi elewi flan sijui ni ushamba ama laa,
Toa maoni huyu jirani nimfanyeje mdada kaumbika hatar hatar