Jirani yangu simuelewi

Jirani yangu simuelewi

Ndio we mshamba. Ndio nyie mdada aki-like picha yako au comment fb unajua kakuzimia. Mi nilidhani kakupa mitego gani sijui, kumbe vazi la usiku tu.

Relax pata funda la maji akil ipate hewa uweze andika kwa utulivu
 
Pombe huziwezi wewe acha tu zitakupeleka kubaya
 
unatushawishi tukuunge mkono kwa tabia uliyo ianza kutam@ni badala y@ kupenda
 
ok saw mkuu twambie wewe sasa je unampenda na kama unampenda mwambie usije ukaidhurum nafusi

Goodluck kwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom