Jirani yangu simuelewi

Jirani yangu simuelewi

Mkuu jirana amepania kuudhulum huu moyo usio na makosa mpaka najishangaa
nakufundisha tu ila ni dhambi kama unaona hutaweza ongea na jirani muwe watu wa kugongana bila malengo na msioneane wivu .. muitane wakati wa dudu tu .. usimfulishe, usimpikilishe usimpe nafasi ya demu wako hata kidogo .. ila wkati wa kugonga tu na ugonge kweli si unagusa gusa (sex partner )
 
Wewe hasa unachotaka kwa huyo binti ni nini?maana yeye kashaeleka kibra,mawazo yako yanakutuma umuache au uzini naye?jua kuwa uzinzi ni dhambi
 
nakufundisha tu ila ni dhambi kama unaona hutaweza ongea na jirani muwe watu wa kugongana bila malengo na msioneane wivu .. muitane wakati wa dudu tu .. usimfulishe, usimpikilishe usimpe nafasi ya demu wako hata kidogo .. ila wkati wa kugonga tu na ugonge kweli si unagusa gusa (sex partner )

Kama vile umeongea ukweli flan madam hebu nijipe muda kutafakar ila jirana anamakusudi mpaka bas
 
unaweza sema ivo ila kuna siku utakiutana na vitu vyakuondoa stability ya moyo unahis kama sio kweli
maana ya kusema 2liza wenge nmemanisha temana na uyo manzi c wenyew yame2tokea sana ukisema umgegede mkuu utajinyma uhuru wa kuja na wa2 wa maana afu utakuwa under control kwahyo achana nae 2
 
jiulize baada ya kukojoa then what?

ione kama kuna wadudu assume kawategega wangapi vile wakagonga ha hahaha ila nyie wanaume mtataka hata kutia kidole

Kama ulijuwa vile kwele shetan haijulikani anakukumba sangapi
 
maana ya kusema 2liza wenge nmemanisha temana na uyo manzi c wenyew yame2tokea sana ukisema umgegede mkuu utajinyma uhuru wa kuja na wa2 wa maana afu utakuwa under control kwahyo achana nae 2

umeandika vizuri mpaka bas mkuu hongera zako asee
 
Kwa hiyo unataka tushiriki kwenye dhambi yako unayo fikiria kufanya? Shiriki mwenyewe akibeba mimba usikimbie na ukikwea gonjwa wajibika pia. Usisahau kutuletea mrejesho
 
Kama ulijuwa vile kwele shetan haijulikani anakukumba sangapi
mpotezee tu wngine wamesema utakosa uhuru na mimi hiyo ndiyo wasi wasi wangu mkubwa mawivu ya kijinga kama umeoa vile na atahamia kwako ........... halafu nimewazaUSIKUTE KODI YAKE INAKARIBIA KUISHA UINGIE MKENGE IWE KIMOJA HA AHA HAHAHAHA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom