Jirani yangu simuelewi

Jirani yangu simuelewi

Waungwana natumai muwazima, wengi wenu naamin mmelala mida hii mwenzenu nimekosa usingizi kabisa, Ninakoishi tuko wapangaji watatu nyumba ziko tatu ndani ya uzio mmoja, Tuko mabachela wote mimi ndio dume wengine wawili ni wadada mmoja anaishi na mdogo wake mwingine anaishi peke yake, Hatuonani kirahis kulingana na ratiba za kaz zetu, Ila kama weekend wote twaweza kuwa home mida ya mchana na hapo tunapata nafas japo kusalimiana na kubadilishana mawasiliano

Kwanini nimekosa usingiz

Jana nlikuwa stressed kiasi, so baada ya kaz nlirudi home nikaoga nikatoka kwenda kulewa japo sio kawaida yangu kulewa ila nakunywa, Sasa kilichotokea nikwamba nilitoka nakuacha funguo zangu upande wa ndani wa geti nikaondoka nikiwa baaa jirani yangu akanitext kuna funguo nimezikuta getin kwa ndani nizakwako ? kujichek nikajikuta siko na funguo kweli, nikamjib yes nizangu please nihifadhie

Funguo alibaki nazo mimi nikaendelea kupombeka mpaka saa tano usiku nikarudi home, wakati naanza kuja nikamtext jirani nikifika please nifungulie geti, kweli ilikuwa hivo kufika tu hata sijapark jiran yangu kafungua get sikuamin macho yangu nahis kama pombe ilikata

Japo nilikuwa nimewasha bim light tu macho yaliweza tambua vitu vya ajabu ajabu mbele yangu, Jiran alikuwa na kinguo mithil ya khanga nazan ni part ya mtandio wa dera au kitu kama icho, ndan alikuwa na chupi tu, kwakweli nlijihis nywele kusisimka moyo kwenda mbio na kupata joto la ajabu na fraa ya ghafla

Niliingiza gari jiran akafunga gate tukasalimiana hapo akanipatia funguo zangu, kidogo nlimtania kwa kumsifia tukacheka kila mtu akaingia kulala

Wadau hapa nifanyeje maana nimeingia ndani nahis kama nina mchecheto flan amazing sijielewi elewi flan sijui ni ushamba ama laa,

Toa maoni huyu jirani nimfanyeje mdada kaumbika hatar hatar
hapo umeiona chupi kwa ndani tu je ungeikuta chupi imeanikwa kwenye kamba pekeyake si ndo ungewehuka
 
wewe ni rijali kweli,,,,, usiziheshimu hisia zako kila wakati .....wacha mambo yaende....wanasema jirani nyama ya hamu,,,,epuka uionja....ukijaribu uhuru wako mashakani.....ila kumbuka CDM.
 
hapo umeiona chupi kwa ndani tu je ungeikuta chupi imeanikwa kwenye kamba pekeyake si ndo ungewehuka

Hizo mimi kama mimi wala hazinistui mkuu, ila iliyovaliwa inautata sana na chupi yenyewe sasa balaa tupu i wish ungemjuwa jiran yule
 
wewe ni rijali kweli,,,,, usiziheshimu hisia zako kila wakati .....wacha mambo yaende....wanasema jirani nyama ya hamu,,,,epuka uionja....ukijaribu uhuru wako mashakani.....ila kumbuka CDM.

Hilo ni tatizo akilin kwa sasa nikiangalia ni pua na mdomo
 
Duh zitakuwa pombe hizo mkuu.

Mimi nilijua wewe kwa kuacha funguo basi umekombwa vitu vyako ndani kumbe ni uchi tu umekupagawisha.


Hatari
 
Duh zitakuwa pombe hizo mkuu.

Mimi nilijua wewe kwa kuacha funguo basi umekombwa vitu vyako ndani kumbe ni uchi tu umekupagawisha.


Hatari

Pombe haijahusika mkuu tena baada yakuona vitu adim pombe kama iliachia flan ivi
 
Alikuwa na wenge la usingizi , alifikiri amejifunga kitenge. Msamehe bure jirani.
 
Hapo uliposema Ushamba ungepigia mstari ndo penyewe haswa. mwenzio alishaingia kulala ulitaka alale na jinzi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom