Jirani yangu simuelewi

Jirani yangu simuelewi

MKOMESHE HUYO BI DADA ANAYEKUTEGA,,USIGAWE DU***OVYO HUO SIO URIJALI.......
 
Simaanish kuwa unipe namba zao I meant tuwasiliane privately mambo mengine huwezi mshauri mtu publicly
 
Pm yangu inagoma sjui kwann. Any way do the best pia kama unamchumba au mke yuko mbal its better ukamuweka wazi. All the best towards that special decision.
 
Asante tena na tena, moyo unashindana na akili
 
hahahahahahah mkuu unakosea pombe nimetumia mwaka wa 30 huu haiwez nipeleka unavyohis
Kwahiyo upo flesh sahizi basi jitasmini ukamuimbishe lakini umuoe siyo kumchezea mtoto wawatu na kama unaletaga mademu nyumbani na ukiwa na huyo utafanyaje kesi hiyo baba
 
Hili ni jarib la mwaka, niko fresh hata sehem yatukio sio kwamba nlikuwa tilalila no, Mchezo wote umekuwa recorded na kibaya umekuwa saved kwa coding maana naona anakatiza akilin mpaka bas
 
In short pga hyo kazi. Ndo maana nlsema vtu vya kushaur n vng sema hapa ni more public. Natafta namba flan then I will let u know. Mwsho mjengee mazingira ambayo ww utakua huru zaid ucje banwa ukakosa uhuru.
 
Nilitaka kukushauri ila ngoja nikuache pombe ikutoke kwanza maana akili za mlevi anazijua mlevi mwenyewe unaweza ukadhani unategwa kumbe dada wa watu hata habari hana
 
Una hati nzuri ila sijui ujazo wa akili zako ukoje nani kakwambia mimi ni mlevi ? mbona tunakoseana adabu mapema hivi ?
 
Hili ni jarib la mwaka, niko fresh hata sehem yatukio sio kwamba nlikuwa tilalila no, Mchezo wote umekuwa recorded na kibaya umekuwa saved kwa coding maana naona anakatiza akilin mpaka bas
Basi umekolea kama ni somo umelielewa ndoa hiyo mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom