Jirani yangu simuelewi

Jirani yangu simuelewi

In short pga hyo kazi. Ndo maana nlsema vtu vya kushaur n vng sema hapa ni more public. Natafta namba flan then I will let u know. Mwsho mjengee mazingira ambayo ww utakua huru zaid ucje banwa ukakosa uhuru.

Kuipiga inaweza isiwe shida kivile ila huko kuja kugeuzwa kuwa kama dereva wa school bus
 
Mkuu mwambie hivi unaenda kupombeka tena Ijumaa hii. Utamtext ili akufungulie gate kisha umuombe avae hicho kinguo kilichokupagawisha mithili ya kanga na ndani atupie picchu. Kisha usisahau kutuletea mrejesho mkuu. Picha ya hicho kinguo na picchu ikionekana itakuwa poa sana ili nasi hapa jamvini tusisimke nywele na mioyo kwenda mwendo kasi. Kila la heri Mkuu.

Jamaa ungekuwa unamjuwa jirani yangu ungenionea huruma
 
Umba Tuku, nashaur kuwa ww ndo wakutengeneza mazingira yote usiwe dreva wa bus. Lazma uweke misimamo flan ambayo itakua advantageous kwako.
 
Umba Tuku, nashaur kuwa ww ndo wakutengeneza mazingira yote usiwe dreva wa bus. Lazma uweke misimamo flan ambayo itakua advantageous kwako.

Dereva wa school bus nimemaanisha naweza geuzwa wakumpeleka job ndio namimi niende job
 
Yaani ww ndo suluhu wa hayo mazingira. Nakutumia namba flan nibipu nikushauri zaidi.
 
Pombe sio maji mkuu achananayo unaweza kutema mate kulia ukafukia kushoto .Huyo kavaa dera ww umeona Mtandio wake
 
Pombe sio maji mkuu achananayo unaweza kutema mate kulia ukafukia kushoto .Huyo kavaa dera ww umeona Mtandio wake

Jamaa nimeanza pombe pengine kabla hujazaliwa, kama nimeweza drive barabara nzima sijaruka mashimo nashindwaje tambua kilicho mbele yangu ? hebu fikiria upya
 
Tupia kapicha tufanye tathimini kwanza, isije ikawa ni pombe ndiyo zililikua zina ku-drive
 
Ila ujue na yeye anamwanaume wake anaye mpenda unaenda kutwanga maji katika kinu hapo

mkuu wewe umejuwaje ? well ni jiran tu sijui chochote kumuhusu wala yeye hajui chochote kunihusu ila ndio ivo ameutikisa ubongo mpaka bas
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom