Jirani yangu ananigongea mlango usiku

Mpende jiran yako Kama unavojipenda... Acha ufara
 
Ila me naonaga mtu ambaye nikigombana nae mwanzo basi huyo ndio anakua rafiki yangu forever so kichambo kawaida tu
 
Ungemuuliza alivyokuwa anagonga anashida gani..huwezi jua kilimpata kipi..usiku mwingi..ohooo..
 
Ulifanya vema kutokuitika kwa usiku ule, lakini asubuhi ungemuuliza alikua na shida gani na ungemwambia hua hufungui mlango kama mgongaji hasemi kitu,

Mwaka 2010 nilinusurika kifo lakini aliuwawa ndugu yangu baada ya usiku kuitika alipoitwa,

Mimi nilisikia aliyeita sikuitika yeye akakurupuka kuitika wakamshoot risasi ya kichwa......

Tuwe makini sana kuitika tika usiku tunapoitwa hata kama akuitaye ni mtu wako wa karibu sana, chungulia kwanza mazingira kabla hujamuitikia.
 
Kwanini akugongee wewe ungemuitikia ukamsikiliza shida yake huenda lalda alikuwa na jambo jema rafiki yangu nataka nikufundishe kitu kubali wito kataa maneno
 
We nawe ni ufala au nini?!


Hapo unashangaa alikuwa anakuja kukwambia amekuja kupewa dozi ya usiku ameshindwa kuvumilia.
 
Huenda wewe ndio ulikuwa mlengwa wa kulawitiwa mpaka rectum ingetokeza nje. Mungu alikuepusha ingawa hao jamaa walimuua ndugu yako. So sad
 
Picha tafadhari, atakuwa alitaka ukamsaidie kuondoa loki.
 
Mambo mengine jiongeze ndugu mtoto wa kike huyo kwan atakufanyaje, leo tena akigonga mfungulie mkaribishe muulize shida nini kama unaweza mpe hitaji lake akalale, usikute anataka kukuomba chunvi
 
Atakuwa alishakunyonyea kidole sema wewe husomeki.
 
Bila shaka wewe utakuwa mwanaume wa Dar. Badala ya umuulize mhusika ulipoamka asubuhi, unakuja kusumbua watu JF?

Angekuwa mwanaume wa mkoa angetoka nje na kumhudumia mgeni....
 
Ungempigia simu... "Jirani nimekuona ulikua unasemaje"
 
Changamka kula mzigo huo
 
Duh Umekariri mpaka saut za milango na funguo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…