Jirani yangu ananigongea mlango usiku

Mambo mengine jiongeze ndugu mtoto wa kike huyo kwan atakufanyaje, leo tena akigonga mfungulie mkaribishe muulize shida nini kama unaweza mpe hitaji lake akalale, usikute anataka kukuomba chunviπŸ˜…πŸ˜…
 
Kwenye miti hakuna wajenzi.
 
Anagonga kama anakimbizwa na kifo
 
Anagonga kama anakimbizwa na kifo
Anagonga mlango kama vile ametumwa akuue, halafu ukitoka nje unakutana na mtu ambaye hata kugombana naye huwezi, kwa sababu ni mtaratibu kwa hiyo nachekaga sana halafu namkaribisha.
 
Anagonga mlango kama vile ametumwa akuue, halafu ukitoka nje unakutana na mtu ambaye hata kugombana naye huwezi, kwa sababu ni mtaratibu kwa hiyo nachekaga sana halafu namkaribisha.
ningekua mimi namchqmba kilokole then namkalibisha
 
Mwanaume mzima unanyata...chomoka na panga na sime akakueleze kwanini anakusumbua
 
Kama ndiyo mara ya kwanza ulitakiwa ufungue umsikilize huenda alikuwa na emergence

Jibu ni hili hapa. Kama hawana mazoea basi ni emergency alihitaji msaada. Inshort Jamaa kazingua.
 
ningekua mimi namchqmba kilokole then namkalibisha
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kila mtu ana kero zake mkuu, hata mimi na wewe tukiwa majirani kuna sehemu nitakukwaza tu. Kitu kizuri ni kupuuzia vitu mkuu, ukisema kila mtu umchane ukweli utakosana na kila mtu bila sababu, na majirani wengi ni temporary tu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…