Mchana anatembea kama 'Lokole' halafu ataki kugongewa usikuHukusema yote bali umeparaza tu. Acha ufala funguka mabaharia tukupe mbinu.
Huenda alitaka ufungue mlango ili mjuba aingie akulawiti. Dunia ina mambo sana jombaaa.
Usidhani kila wakati ni fursa,kuna wakati nawe waweza kuwa fursa kwa wenye uchu.
[emoji2
Si ndiyo apo, Afu wengine wanafikiri kufungua mlango usiku ni kirahis rahisi hivyo..Umefanya vzr sana kama angekua na shida ya maana angegonfa huku anaiti kama anataka kukutoa kafala je
Sasa kama hajui akivuliwa chupi maana yake nini? siyo kila mdada wa kulala nae kisa wewe kidume.Ipo siku mtu atakuja na mada 'kuna dada amenivulia chupi na kupanua miguu nifanyaje.? '
Kwanini kuna majukwaa tofauti tofauti humu JF?Yaaani ni Rahisi kuwaumiz watu JF kuliko kumuuliza jiran Yako alikuwa anataka nini. Mnajaza to server
Tunamtia bakoraIpo siku mtu atakuja na mada 'kuna dada amenivulia chupi na kupanua miguu nifanyaje.? '
Sasa ndo mtu aseme afanye nini.? Ukiona mwanamke anakuvulia chupi maana yake ameona kuna nafasi hy.Sasa kama hajui akivuliwa chupi maana yake nini? siyo kila mdada wa kulala nae kisa wewe kidume.
Kumbe ww ndo umeandika mada ๐๐๐ akili hakunaSasa kama hajui akivuliwa chupi maana yake nini? siyo kila mdada wa kulala nae kisa wewe kidume.
Harafu akarudi kimya kimya mpaka kwenye chumba chake na kufungua mlango taraatibu huku ukimsikia ukute alikua na jambo lake na kama anashida na wewe bac atakufata mchana huu au jioniSi ndiyo apo, Afu wengine wanafikiri kufungua mlango usiku ni kirahis rahisi hivyo..
Punguza masaa ya kulala mkuu.. mwanaume unalalaje masaa nane? sita yanatosha kabisaSi ndiyo. Mimi nina ratiba zangu za kulala masaa nane kila siku, halafu mtu anaamka usiku kuja kunigongea.fujo tuu.
Shida ni kwamba majiran zetu hawa hawa wengine ndio chanzo cha matatizo sasa ye si angegonga na kuita taraatibu ili mtu ajue ni nani sasa unagonga kimya kimya kama wapiga nondo buanaKuna wimbo mmoja una mistarii "Unapopatwa na shida kubwa usiku wa manane, jirani yako ndiye wa kwanza kukusaidia"
"Mimi na wewe ni kitu kimoja, haina maana ooh oooh haina maana kunyimana"
"Sisi sote ni majirani, haina maana kunyimana"
Natumaini umenielewa mkuu. Huyo ni jirani mwema sana. Na tumehimizwa mpende jirani yako kama unavyojipenda.
Ungongaji mlango tunatofautiana sana, kuna wengine ni kawaida yao kugonga kwa kishindo kikubwa.Shida ni kwamba majiran zetu hawa hawa wengine ndio chanzo cha matatizo sasa ye si angegonga na kuita taraatibu ili mtu ajue ni nani sasa unagonga kimya kimya kama wapiga nondo buana
Habari wanajamii.
Usiku wa kuamkia leo, mida ya saa saba nilikua nimelala zangu, mara ghafla kelele za mlango zikanishtua kutoka usingizni, mlango unagongwa..nikashindwa nifanye nini maana siyo kawaida..kama mara tano sita... akaacha kugonga na mimi nina kawaida yangu kama mtu anagonga mlango halafu haongei, siitiki mpaka nisikie sauti,Nikatoka taratibu mpaka karibu na mlango ulipo..nikasimama kusikiliza miondoko ya kutembea kwa mtu...mara nikasikia mlango wa jirani yangu ambae ni mdada unafunguliwa...taratiiiibu na kufungwa na funguo ambayo ilitoa sauti, Sasa najiuliza huyu jirani atakua anataka nini? Kama ana jambo anataka kuniambia kwanini asinifate mchana na tunaishi mahali pamoja?