Jirani yangu ananigongea mlango usiku

Jirani yangu ananigongea mlango usiku

West standard

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2021
Posts
441
Reaction score
649
Habari wanajamii.

Usiku wa kuamkia leo, mida ya saa saba nilikua nimelala zangu, mara ghafla kelele za mlango zikanishtua kutoka usingizni, mlango unagongwa nikashindwa nifanye nini maana siyo kawaida..kama mara tano sita... akaacha kugonga na mimi nina kawaida yangu kama mtu anagonga mlango halafu haongei, siitiki mpaka nisikie sauti

Nikatoka taratibu mpaka karibu na mlango ulipo nikasimama kusikiliza miondoko ya kutembea kwa mtu mara nikasikia mlango wa jirani yangu ambae ni mdada unafunguliwa. Taratiiiibu na kufungwa na funguo ambayo ilitoa sauti, Sasa najiuliza huyu jirani atakua anataka nini? Kama ana jambo anataka kuniambia kwanini asinifate mchana na tunaishi mahali pamoja?
 
Habari wanajamii.
Usiku wa kuamkia leo, mida ya saa saba nilikua nimelala zangu, mara ghafla kelele za mlango zikanishtua kutoka usingizni, mlango unagongwa..nikashindwa nifanye nini maana siyo kawaida..kama mara tano sita... akaacha kugonga na mimi nina kawaida yangu kama mtu anagonga mlango halafu haongei, siitiki mpaka nisikie sauti,Nikatoka taratibu mpaka karibu na mlango ulipo..nikasimama kusikiliza miondoko ya kutembea kwa mtu...mara nikasikia mlango wa jirani yangu ambae ni mdada unafunguliwa...taratiiiibu na kufungwa na funguo ambayo ilitoa sauti, Sasa najiuliza huyu jirani atakua anataka nini? Kama ana jambo anataka kuniambia kwanini asinifate mchana na tunaishi mahali pamoja?
Kama ndiyo mara ya kwanza ulitakiwa ufungue umsikilize huenda alikuwa na emergence
 
Habari wanajamii.
Usiku wa kuamkia leo, mida ya saa saba nilikua nimelala zangu, mara ghafla kelele za mlango zikanishtua kutoka usingizni, mlango unagongwa..nikashindwa nifanye nini maana siyo kawaida..kama mara tano sita... akaacha kugonga na mimi nina kawaida yangu kama mtu anagonga mlango halafu haongei, siitiki mpaka nisikie sauti,Nikatoka taratibu mpaka karibu na mlango ulipo..nikasimama kusikiliza miondoko ya kutembea kwa mtu...mara nikasikia mlango wa jirani yangu ambae ni mdada unafunguliwa...taratiiiibu na kufungwa na funguo ambayo ilitoa sauti, Sasa najiuliza huyu jirani atakua anataka nini? Kama ana jambo anataka kuniambia kwanini asinifate mchana na tunaishi mahali pamoja?
Hukusema yote bali umeparaza tu. Acha ufala funguka mabaharia tukupe mbinu.

Huenda alitaka ufungue mlango ili mjuba aingie akulawiti. Dunia ina mambo sana jombaaa.

Usidhani kila wakati ni fursa,kuna wakati nawe waweza kuwa fursa kwa wenye uchu.

[emoji2
 
Nauliza nani shida nini kabla sijafungua mlango afu mlango wako hauna geti kwa nje ambalo huonesha nani hata ukifungua mlango linakuwa bado geti???
Mlango upo,ni ule wa geti unaofunga kwa ndani ukiwa nje.
 
Hukusema yote bali umeparaza tu. Acha ufala funguka mabaharia tukupe mbinu.

Huenda alitaka ufungue mlango ili mjuba aingie akulawiti. Dunia ina mambo sana jombaaa.

Usidhani kila wakati ni fursa,kuna wakati nawe waweza kuwa fursa kwa wenye uchu.

[emoji2
Na ndiyo maana sikufungua, unajuaje mtu usiku huo ana jambo gani?
 
Habari wanajamii.
Usiku wa kuamkia leo, mida ya saa saba nilikua nimelala zangu, mara ghafla kelele za mlango zikanishtua kutoka usingizni, mlango unagongwa..nikashindwa nifanye nini maana siyo kawaida..kama mara tano sita... akaacha kugonga na mimi nina kawaida yangu kama mtu anagonga mlango halafu haongei, siitiki mpaka nisikie sauti,Nikatoka taratibu mpaka karibu na mlango ulipo..nikasimama kusikiliza miondoko ya kutembea kwa mtu...mara nikasikia mlango wa jirani yangu ambae ni mdada unafunguliwa...taratiiiibu na kufungwa na funguo ambayo ilitoa sauti, Sasa najiuliza huyu jirani atakua anataka nini? Kama ana jambo anataka kuniambia kwanini asinifate mchana na tunaishi mahali pamoja?
Piga sasa wewe alaaaaaah (in ommy Dj voice
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom