Jirani yangu alala kitanda cha theruji

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
739
484
Ningependa kukuonyesha picha niliyoipiga ambayo inamuonyesha jirani yangu akilala kwenye 'kitanda' cha theluji alichokitengeneza yeye wakati eneo la pwani ya Mashariki mwa Marekani lilikumbwa na hali mbaya ya hewa wiki hii. Ungemshauri vipi mtu huyu???




Chanzo: idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika.
 
Ushauri penye mahaba ya mtu mara chache sana kumuingia mtu yeye kaamua kufanya hivyo sasa utashauri nini?.
 
Back
Top Bottom