ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,427
- 24,145
Upo sahihi sana....Huyo anakutafutia Visa ukimnyima akuroge.
Upo sahihi sana....Huyo anakutafutia Visa ukimnyima akuroge.
sio poa kabisa ni fahari tu mtaan nina wake wa2 lakin matunzo zeroUKIONA KITU MZUNGU HAFANYI ACHANA NACHO MARA MOJA...Hakina faida! Mzungu kawazaa weee! Kachukua ruler kapima, kachukua venier caliper kapima, micrometer screw gauge kapima, thermometer kapima, Microscope kapima, kachukua vipimo vyote unavyojua kapima...mwisho kapata jibu wake wawili haina faida niwaachie waafrica tu..matokeo yake sisi bado tumeng'ang'ana nayo tuu, matokeo yake ndo hayo
Hivi mchawi kukuwangia mpaka aforce visa
Na hii hasa ni kwa wale wanaoamini hayo... wasioamini mauzauza wala hawasumbuliwi.ungempa tu hiyo mia tano ungejuta. wachawi ni wajanja sana kun auchawi wa shilingi ukishampa hiyo hela anafunga uchumi wako unakuwa ni mtu wa maisha yanayoendana na jero jero
Naweza kusema wanaofanya uchawi wapo ila kwamba uko applicable hapo ndipo napatilia shaka... maana uchawi hauwezi kuwa ni kuharibu tu tungeuona na wa kujenga.hauamini kama uchawi upo??
hamnaga mchaw anayejenga mzee wewe fuatilia labda wachawi wa mbele ila bongo ni wazee wa kuharibu tu ndiyo furaha yaoNaweza kusema wanaofanya uchawi wapo ila kwamba uko applicable hapo ndipo napatilia shaka... maana uchawi hauwezi kuwa ni kuharibu tu tungeuona na wa kujenga.
Sasa mtu ana uwezo kukuharibia alafu ati hana uwezo wa kununua hata chumvi... useless technology.hamnaga mchaw anayejenga mzee wewe fuatilia labda wachawi wa mbele ila bongo ni wazee wa kuharibu tu ndiyo furaha yao
Ukali Unatakiwa, asikuzoee! Vingine mnyime tu hats kama unavyo ndani! Sio kila anachoomba Unampa!Hellow JF
Jirani ni mtu muhimu sana kwenye makazi kwa sababu yeye ndiye mtu wa kwanza kukusaidia pale unapopatwa na shida na unahutaji msaada ,ujirani ni muhimu sana kwa binadamu yoyote yule.
Huyu jirani yangu sijui ananijaribu kwa sababu anamtuma sana mwanaye kuja kuomba hapa home kuomba sio kosa kila mtu anahitaji msaada lakini huyu sijamuelewa.
Picha linaanza ikawa inaletwa simu kuchajiwa na kumbuka hapa sisi tumehamia hivi karibuni tu sio wenyeji kabisa kuna siku umeme wetu wa magumashi huu walikata tukawa kwenye Giza siku 2 hamna umeme dogo akatumwa alete simu mama kasema nilite simu ikae tu umeme ukija umchajie,baadaye akaja tena mama kanituma kama una sukari kidogo anaomba.
Siku nyingine akaja mama anaomba kitunguu kimoja kama unacho umpatie.
Jana sasa ndo kali akaja usiku mida ya saa moja hivi mama kasema anaomba umkopeshe mia tano nikamuuliza tena shilingi ngapi amekwambia akasema shilingi mia tano umkopeshe.Aisee Mungu anisamehe tu nikamwambia sina.
Halafu hapo anavuka nyumba kama 3 ndiyo inakuja nyumba ninayo kaa sasa wakat wa story na jiran mwingine akaniambia yaan hiyo nyumba ya chini hapo wakishakuzoea wanaomba hadi kero sabuni ya kuogea wanaomba sabuni ya kuoshea vyombo wanaomba mafuta ya kupakaa wanaomba yaan ni shida ,nikasema duh hapa kazi ipo kama ndiyo hivyo hapa inabidi kuwa kauzu sasa hivi.