Tutafika mbinguni tukiwa tumechoka sana.Hellow JF
Jirani ni mtu muhimu sana kwenye makazi kwa sababu yeye ndiye mtu wa kwanza kukusaidia pale unapopatwa na shida na unahutaji msaada ,ujirani ni muhimu sana kwa binadamu yoyote yule.
Huyu jirani yangu sijui ananijaribu kwa sababu anamtuma sana mwanaye kuja kuomba hapa home kuomba sio kosa kila mtu anahitaji msaada lakini huyu sijamuelewa.
Picha linaanza ikawa inaletwa simu kuchajiwa na kumbuka hapa sisi tumehamia hivi karibuni tu sio wenyeji kabisa kuna siku umeme wetu wa magumashi huu walikata tukawa kwenye Giza siku 2 hamna umeme dogo akatumwa alete simu mama kasema nilite simu ikae tu umeme ukija umchajie,baadaye akaja tena mama kanituma kama una sukari kidogo anaomba.
Siku nyingine akaja mama anaomba kitunguu kimoja kama unacho umpatie.
Jana sasa ndo kali akaja usiku mida ya saa moja hivi mama kasema anaomba umkopeshe mia tano nikamuuliza tena shilingi ngapi amekwambia akasema shilingi mia tano umkopeshe.Aisee Mungu anisamehe tu nikamwambia sina.
Halafu hapo anavuka nyumba kama 3 ndiyo inakuja nyumba ninayo kaa sasa wakat wa story na jiran mwingine akaniambia yaan hiyo nyumba ya chini hapo wakishakuzoea wanaomba hadi kero sabuni ya kuogea wanaomba sabuni ya kuoshea vyombo wanaomba mafuta ya kupakaa wanaomba yaan ni shida ,nikasema duh hapa kazi ipo kama ndiyo hivyo hapa inabidi kuwa kauzu sasa hivi.
basi funika kombe mwanakharam apite sheikhekatoto cha kike kadogo kwanza hata hakivutii kwa mlaji
Yeye muombe papuchi!Hellow JF

Ingekua ni mimi ningemwambia aende akamwambie mama yake aje aifate hio 500.yaan huyu ana lake jambo sio bure ujue
Mwanzo umeelezea vizuri kuhusu ujirani, mwenzio anaitumia vizuri iyo dhana ya majirani kusaidiana. Na bahati nzuri msaada hauna mipaka et Leo ukitoa chumvi kesho usitoe jero.
Hua mnaishia kusema tu ujirani ni kusaidiana, ndohuko sasa inabidi ukomae.
Ningekuwa Mimi ningehitaji kujua kwann iyo familia wanakosa mahitaji muhimu, nikishajua basi natumia iyo dhana ya ujirani mwema kuhamasisha majirani wengine kwa pamoja tushirikiane kuwawezesha iyo familia ili iweze kujitegemea. Labda kumsaidia kimtaji mama wa familia n.k

hiyo kazi yai mjumbe wa nyumba 10 aiseeMwanzo umeelezea vizuri kuhusu ujirani, mwenzio anaitumia vizuri iyo dhana ya majirani kusaidiana. Na bahati nzuri msaada hauna mipaka et Leo ukitoa chumvi kesho usitoe jero.
Hua mnaishia kusema tu ujirani ni kusaidiana, ndohuko sasa inabidi ukomae.
Ningekuwa Mimi ningehitaji kujua kwann iyo familia wanakosa mahitaji muhimu, nikishajua basi natumia iyo dhana ya ujirani mwema kuhamasisha majirani wengine kwa pamoja tushirikiane kuwawezesha iyo familia ili iweze kujitegemea. Labda kumsaidia kimtaji mama wa familia n.k
Hatari ya nini sasa?hiyo ndiyo hatari zaid aisee
🤣🤣🤣 Mkuu unawaza mbali sana au afanye hivyo kweli.Mkuu sijui ni wenge, nikaona kama umeweka t katikati ya u na o, waha nishtuke. anyway anaweza tu sio mbaya!!