Jirani huyu kiboko

Jirani huyu kiboko

Chura hua inasaidia kidogo kupoza machungu.
Ila kama ni flat screen mpotezee tu mkuu.
pamoja sana flat screen huwa hamnaga hata nyama kwanza mifupa tu ndo imetamalaki
 
𝙃𝙖𝙩𝙖 𝙢𝙛𝙖𝙡𝙢𝙚 𝙖𝙡𝙞𝙖𝙯𝙞𝙢𝙖 𝙨𝙞𝙣𝙙𝙖𝙣𝙤 𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙨𝙝𝙤𝙣𝙚𝙖 𝙣𝙜𝙪𝙤,

𝙉𝙖𝙠𝙪𝙠𝙪𝙢𝙗𝙪𝙨𝙝𝙖 𝙩𝙪 𝙝𝙖𝙠𝙪𝙥𝙚𝙣𝙙𝙖 𝙠𝙪𝙮𝙖𝙞𝙨𝙝𝙞 𝙢𝙖𝙞𝙨𝙝𝙖 𝙝𝙖𝙮𝙤 𝙞𝙡𝙖 𝙣𝙘𝙝𝙞 𝙣𝙙𝙞𝙮𝙤 𝙞𝙡𝙞𝙮𝙤𝙢𝙛𝙞𝙠𝙞𝙨𝙝𝙖 𝙝𝙖𝙥𝙤,
🇲🅄🄽🄶🅄 🅆🄴🅃🅄 🄽🄸 🅆🄰🅁🄴🄷🄴🄼🄰 🅂🄰🄽🄰
 
Hellow JF

Jirani ni mtu muhimu sana kwenye makazi kwa sababu yeye ndiye mtu wa kwanza kukusaidia pale unapopatwa na shida na unahutaji msaada ,ujirani ni muhimu sana kwa binadamu yoyote yule.

Huyu jirani yangu sijui ananijaribu kwa sababu anamtuma sana mwanaye kuja kuomba hapa home kuomba sio kosa kila mtu anahitaji msaada lakini huyu sijamuelewa.

Picha linaanza ikawa inaletwa simu kuchajiwa na kumbuka hapa sisi tumehamia hivi karibuni tu sio wenyeji kabisa kuna siku umeme wetu wa magumashi huu walikata tukawa kwenye Giza siku 2 hamna umeme dogo akatumwa alete simu mama kasema nilite simu ikae tu umeme ukija umchajie,baadaye akaja tena mama kanituma kama una sukari kidogo anaomba.

Siku nyingine akaja mama anaomba kitunguu kimoja kama unacho umpatie.
Jana sasa ndo kali akaja usiku mida ya saa moja hivi mama kasema anaomba umkopeshe mia tano nikamuuliza tena shilingi ngapi amekwambia akasema shilingi mia tano umkopeshe.Aisee Mungu anisamehe tu nikamwambia sina.

Halafu hapo anavuka nyumba kama 3 ndiyo inakuja nyumba ninayo kaa sasa wakat wa story na jiran mwingine akaniambia yaan hiyo nyumba ya chini hapo wakishakuzoea wanaomba hadi kero sabuni ya kuogea wanaomba sabuni ya kuoshea vyombo wanaomba mafuta ya kupakaa wanaomba yaan ni shida ,nikasema duh hapa kazi ipo kama ndiyo hivyo hapa inabidi kuwa kauzu sasa hivi.
Natamani kujua wewe ni ke au me ... sorry lakini ili nikupe mbinu
 
Hama uswahilini huko
 
Back
Top Bottom