Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,910
- 6,704
,
Nimekuja nduki kushuhudia huyo "my" wako anaepumzika ni nani kumb ni... we jamaa wewe.
Sasa nguruwe zinaenda kuongezeka thamaniNEW YORK: FIGO YA NGURUWE YAONESHA UFANISI
KWA MWANADAMU
Wataalamu wa Upasuaji kutoka Chuo Kikuu cha New York wamefanya majaribio ya kuweka figo ya nguruwe kwa mwanadamu na imeweza kufanya kazi vizuri
iliwekwa kwa muda mfupi na kuonesha ufanisi
Soma - Figo ya nguruwe yabainika kufanya kazi kwa binadamu https://t.co/7xBbrOhyXr
Dar Man on flick....chips kavu soda kwa pemben fanta pineple
Kwahiyo hata wale ndugu zetu wa upande wa pili kama atapata tatizo Hilo atakubali hiyo tiba? maana wanasema haramu!NEW YORK: FIGO YA NGURUWE YAONESHA UFANISI
KWA MWANADAMU
Wataalamu wa Upasuaji kutoka Chuo Kikuu cha New York wamefanya majaribio ya kuweka figo ya nguruwe kwa mwanadamu na imeweza kufanya kazi vizuri
iliwekwa kwa muda mfupi na kuonesha ufanisi
Soma - Figo ya nguruwe yabainika kufanya kazi kwa binadamu https://t.co/7xBbrOhyXr
Naona ume panic mkuu! hiki sio kituko huyu ni mnyama pendwa!Peleka vituko mitandaoni