dan87
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 394
- 175
Sasa hapo nani kabanwa?Na hapi ndipo Rais Magufuli alipowakamata ndo maana wanatapatapa...Serikali ilikuwa inapata Kodi kwa ANAYETUMA PESA TU (Swali hapo ni Hiyo 18% alikuwa anatozwa mlaji au kampuni???? )
Lakini yule anayepokea pea iliyokuwa inakatwa na Kampuni ilikuwa haikatwi Kodi. ...Kwa sasa wamebanwa kotekote
Halafu UKAWA wanajifanya kutumia mitandao wakiwemo hawa akina G sam kupotosha!!!!! Haya yana mwisho tunaelewa vizuri sana lengo la Serikali. ..ni suala la muda tu mtajiona wajinga tena weupeeee. ..subilini tu