Mwanamakunda
Member
- Apr 1, 2021
- 19
- 91
Walevi kama kitwanga huwa hawaoni uchungu kulipa Double au triple taxation au zaidi ya hapo wanapokunywa pombe?
Anaandika Erasmos Kwayu,
Jana ameibuka waziri aliewahi kutimuliwa wizarani kutokana na ulevi wa kupindukia, Ndugu kitwanga, bila kuona haya anaisimanga serikali juu ya utozaji wa kodi, akidai huduma moja inatozwa double taxation.
Mimi najiuliza hivi ulevi wa kitwanga na walevi wengine mbona huwa hawalalamiki kulipa double au triple taxation? Kwani hiyo huwa haiwaumizi? Au haya malalamiko ya sasa yana ajenga iliyojificha? Au ni chuki dhidi ya Awamu ya sita? Mnataka kukwamisha utendakazi bora wa awamu ya sita?
Kila mtu lazima alipe kodi halali iliyotungwa na kupitishwa na wawakilishi wa wananchi. Wengine tunawajua ni hulka yenu kupinga kila kitu, wengine speculation za 2030 zinawaendesha, wengine, mnatamani mkae pale wizara ya fedha ili muibe baada ya madeal yenu kupigwa stop, wengine ni chuki na roho mbaya.
Lipa Kodi kwa maslahi ya nchi, acha porojo na mipasho.