Nyie mabingwa wa kuitetea udsm utadhani ni nyie pekee mmesoma pale. Udsm kuna matatizo saana. Utawala, urasimu na ufundishaji wa kizamani kwa vitabu na teknolojia ya siku nyng. Kama wewe exposure yako ni udsm peke yake, utazidi kushangilia.Kama unawadogo zako wamexhaguliwa usdm wambie wafute akilini mwao kuwa pale kuna degree za chupi na dili. Usipofanya hivo jiandae kuwapokea na mabagi huko kijijini kwenu huku wakilia. Hakuna degree ya dili mliman. Ingekuwa hivo kilamtu angemaliza na first class. Mjomba ata jentleman kuipaka pale watu wanavua mashati
njoo dit tukutengenezee mashine
Mmefanya vizuri sana na kizalendo pia.Lakini kwa akili yangu ya kichaga ambayo inawaza pesa saa zote hapo ningekuwa consequentialist.
Bro mbona unatoka mapovu. Kwanza ata sijasoma udsm ila naandika fact ninayo ijua kuhusu udsm. My be kama kunajipya kuhusu udsm nambie. Ila unayoyasema tushayasikia hata vyuo vyetu tulivosomaNyie mabingwa wa kuitetea udsm utadhani ni nyie pekee mmesoma pale. Udsm kuna matatizo saana. Utawala, urasimu na ufundishaji wa kizamani kwa vitabu na teknolojia ya siku nyng. Kama wewe exposure yako ni udsm peke yake, utazidi kushangilia.
Huijui fact kama hujasoma. Nimekuwa pale miaka 5 kwahiyo kuendelea kuwaaminisha watu ujinga ni ujinga. Ndio maana nikasema km hujaona utaendelea kufagilia ujinga.Bro mbona unatoka mapovu. Kwanza ata sijasoma udsm ila naandika fact ninayo ijua kuhusu udsm. My be kama kunajipya kuhusu udsm nambie. Ila unayoyasema tushayasikia hata vyuo vyetu tulivosoma
Nimeamua kwa roho safi kabisa kuliweka hili hapa JF kwani sielewi pengine pa kulipeleka.
Napenda ieleweke kuwa mimi ni muhanga wa hili tukio na kwa kuwa nilihusika na mume wangu, nimemuomba aelezee yeye kisa hiki, ingawa amenisihi kuwa "achana nao" lakini nimeona kuwa si vyema kuliacha tu kwani leo yametukuta sisi na tumeshaingia hasara ya muda, kuna wengine wengi na pia kuna mali nyingi za Watanzania zinatumika bila huruma kwa faida ya wachache na isitoshe na linaloniuma zaidi, huwa ninajiuliza "ikiwa waalim wa chuo kikuu ni namna hii, hao wanafunzi wanaowazalisha hapo wakoje?" Endelea.
Nawasilisha.
i did no think you are of this kind!Ina maelezo mengi nimeshindws kumalizia.naomba ambaye anaweza kunieleza kifupi tu
Sasa ipi ilikuwa bora kwako ni risiti au machine?wewe ungemalizana nao na ukachukua ulichotaka ungepungua nini?au una uchungu sana na pesa zisizokuhusu?
Miaka mitano???? Mwaka gani mkuu. Mbona pale hakuna koz ya miaka mitano!!!. My be ardhi zaman my be ila sinaiman na wwHuijui fact kama hujasoma. Nimekuwa pale miaka 5 kwahiyo kuendelea kuwaaminisha watu ujinga ni ujinga. Ndio maana nikasema km hujaona utaendelea kufagilia ujinga.
nani kakuambia kuwa yeye alikuwa anasoma pale ye kasema amekuwa pale kwa miaka mitano labda alikuwa anafanya kazi.usikurupuke kujibu kabla hujaelewa vizuriMiaka mitano???? Mwaka gani mkuu. Mbona pale hakuna koz ya miaka mitano!!!. My be ardhi zaman my be ila sinaiman na ww
Unaweza kaa sehemu usijue kinachoendelea. Kwan ww unahisi unajua kilakitu sehemu unayokaa. Angesema alikuwa anaganyakazi BICO ninge mwelewa.nani kakuambia kuwa yeye alikuwa anasoma pale ye kasema amekuwa pale kwa miaka mitano labda alikuwa anafanya kazi.usikurupuke kujibu kabla hujaelewa vizuri
Mbona husemi hilo tatizo?ukilala bila ya net mbu watakutafuna na baadaye utapata malaria sasa hapa malaria ndo tatizo,weka tatizo la ww kutengenezewa machine uliyoitaka kwa bei uliyoridhia baada ya kukubaliana kwa kutokupewa risiti tu,akili kidogo tu hapa.Kijana, mashine za thamani ya shillingi million mbili laki saba zitengenezwe ndani ya chuo kikuu, kwa mashine za chuo kikuu, kwa muda wa chuo kikuu, na wataalam wa chuo kikuu halafu zitoke bila idhini, kiwizi-wizi apewe bila risiti, huoni kuwa ni tatizo hilo?
Kwanza swala la kujiuliza si yalikuwa ni makubaliano yao wenyewe. Mtu tena unaambiwa utafanyiwa kazi bila ya risit unakubali afu mwisho wa siku unalailumu BIco. Kwan BICO ndo waliomwambie asipewe risit. Mambo mengine hayahitaji uwena degree kutambua. Hili ata wahindi wa kariakoo wanalijua fika mkuuHuijui fact kama hujasoma. Nimekuwa pale miaka 5 kwahiyo kuendelea kuwaaminisha watu ujinga ni ujinga. Ndio maana nikasema km hujaona utaendelea kufagilia ujinga.
Kwanza swala la kujiuliza si yalikuwa ni makubaliano yao wenyewe. Mtu tena unaambiwa utafanyiwa kazi bila ya risit unakubali afu mwisho wa siku unalailumu BIco. Kwan BICO ndo waliomwambie asipewe risit. Mambo mengine hayahitaji uwena degree kutambua. Hili ata wahindi wa kariakoo wanalijua fika mkuu
Aunt zainab bana....umefanikiwa kunichekesha asubuhi hiiNimekuelewa na hata mume wangu alikuwa na fikira kama zako lakini nikaona ni heri tufanye vitu kihalali. Huyu Mzee rafiki zake 90% ni Wachaga inawezekana nae ana fikira za Kichaga