Jipu la utapeli Chuo Kikuu Dar (UDSM)

Jipu la utapeli Chuo Kikuu Dar (UDSM)

Hili si tukio la kwanza kusikia kuhusu hawa jamaa wa chuo. Kuna rafiki yangu alitaka atengenezewe mashine ya juice ya miwa walimsumbua kinoma ilifika karibu miezi mitatu. Ikabd mshkaji aende na polisi ndo wakaandikishiana baada ya siku 5 aje kuchukua mashine.
Ila kikweli pamoja na usumbufu jamaa wanaijua kazi yao. Mashine za ukweli
😛😛😛
 
Kila kitu ni dili hapa Tanzania. Hata degree unaweza kuipata kwa dili pale Mlimani. Awamu ya nne imeharbu hii nchi xana.
Kama unawadogo zako wamexhaguliwa usdm wambie wafute akilini mwao kuwa pale kuna degree za chupi na dili. Usipofanya hivo jiandae kuwapokea na mabagi huko kijijini kwenu huku wakilia. Hakuna degree ya dili mliman. Ingekuwa hivo kilamtu angemaliza na first class. Mjomba ata jentleman kuipaka pale watu wanavua mashati
 
Ili kuwatumbua vizur mngeenda kuripoti hilo tukio kwenye uongoz wa juu zaid ili kuweka hizo recodi zao hao majipu wawili ili ikifika wakati wa kutumbuliwa na watumbuliwe tuu
 
nimeisoma hyo thread vizuri sana bila kuchoka but tuwe makini sio kila kitu kusema sawa tu wakati kwa hayo maelezo sidhani kama chuo kina tatizo,acheni kuikandia udsm,huyo dada ma mme wake walitaka hudima pasipo kufuata njia sahihi na ndo chanzo cha usumbufu wote huo!mmepatana mtaani kwa taasisi kubwa kisha unataka kuchukulia ofisini ,hyo protocol sijaifahamu ,ungalikua umeenda ofisini direct sawa hapo ningekuelewa ila mtu mwenyewe mnachukua namba zake sinza kwanini msingeenda chuoni na mkafuata taratibu zote pasipo hata kuonana na mtengenezaji?,nadhani kuna walakini hapo !tuache tabia mbaya kama hizi !
 
Kama ungeweka wazi tangu mwanzo nia ya kutaka kupata risiti, bei ya mashine isingekuwa ndogo kiasi hicho
 
We dada unashida sana yani mtu kesha kutengenezea mashine amekuletea umekomaa na kudai risiti halafu hapa unakuja kulalamika na ku expose privacy za watu nyambafu, pamoja na hela zako kurudishiwa lakini hukomi pole sana umejichelewesha mwenyewe ulichoandika hakina mashiko.
 
Pale wananchi wanapomsaidia rais wao kutumbua jipu..

Here we go!
 
Kama unawadogo zako wamexhaguliwa usdm wambie wafute akilini mwao kuwa pale kuna degree za chupi na dili. Usipofanya hivo jiandae kuwapokea na mabagi huko kijijini kwenu huku wakilia. Hakuna degree ya dili mliman. Ingekuwa hivo kilamtu angemaliza na first class. Mjomba ata jentleman kuipaka pale watu wanavua mashati
Utaamn hvyo. Maana wengi wana struggle kupata degree lakn believe me kuna ambao wao wana relax tu. Wanapata kwa kuhonga. Km unakomaa komaa lakn jua wengine wanapewa tu. Hutajua maana mengne hayasemwi hadharani
 
Sisemi kuwa lililosemwa ni uongo, ila jaribu kutumia akili yako hapo kidogo. Kama kuna sehemu uliwahi nunua degree usifananishe na sehemu ambayo hata mguu hujawahi tia. Think outside the box, sio kila kitu ni siasa.
Ni heri umekubali kwmb sio kinachosemwa ni uongo. Nmekushangaa kushutumu mwshoni. Kuna mambo mengne huwezi kuyaona hadharani. Na huwez kusikia hata aliyenunua anatangaza ovyo ovyo. Ni hilo tu we komaa upate degree yako ila wengne ni cheap kuipata.
 
nimeisoma hyo thread vizuri sana bila kuchoka but tuwe makini sio kila kitu kusema sawa tu wakati kwa hayo maelezo sidhani kama chuo kina tatizo,acheni kuikandia udsm,huyo dada ma mme wake walitaka hudima pasipo kufuata njia sahihi na ndo chanzo cha usumbufu wote huo!mmepatana mtaani kwa taasisi kubwa kisha unataka kuchukulia ofisini ,hyo protocol sijaifahamu ,ungalikua umeenda ofisini direct sawa hapo ningekuelewa ila mtu mwenyewe mnachukua namba zake sinza kwanini msingeenda chuoni na mkafuata taratibu zote pasipo hata kuonana na mtengenezaji?,nadhani kuna walakini hapo !tuache tabia mbaya kama hizi !

Inaonesha hujaisoma vizuri thread.

Tumepatana ofisini na tumelipa ofisini, ni wao waliopiga simu tukaichukulie mtaani tukakataa.

Ulitaka taratibu za hapo atueleze nani kama si hao wahusika? Ambao ukinisoma vizuri utaona kuwa hao hao ni matapeli na wabadhirifu waliotengeneza hizo mashine kwa kutumia vifaa vya chuo, muda wa chuo, na mpaka wametoa Invoice za chuo (BICO) ambazo kwa jinsi inavyoonekana wanazo zao ambazo hazifiki kwenye uongozi wa chuo (BICO) na wameweza kuzitoa mashine nje ya chuo na kutaka kutupachika nazo kama vile sisi tumeshirikiana nao kuiba.

Kuchukua namba Sinza au kwengine popote si shida, hiyo ilikuwa ni kujulishwa tu, au wewe ulizaliwa unajua kila kitu?
 
We dada unashida sana yani mtu kesha kutengenezea mashine amekuletea umekomaa na kudai risiti halafu hapa unakuja kulalamika na ku expose privacy za watu nyambafu, pamoja na hela zako kurudishiwa lakini hukomi pole sana umejichelewesha mwenyewe ulichoandika hakina mashiko.

Ulitaka nisidai risiti?
 
Kama ungeweka wazi tangu mwanzo nia ya kutaka kupata risiti, bei ya mashine isingekuwa ndogo kiasi hicho

Bei niliopewa chuoni si ndogo, kwani hizo mashine za vibrating zipo mpaka za million 2 tu na za manual zipo mpaka za laki mbili na nusu. Nilikubali bei hiyo kwa kujua itakuwa ni kazi ya kutokea chuo kikuu itakuwa ya kitaalamu zaidi kuliko ya mitaani.

Ukinisoma vizuri utaona nilidai risiti na ndio maana wakanipa invoice ya BICO ambayo kwa sasa nimeelewa ilikuwa si official na ni ya kitapeli tu wanayoitumia kudanganya watu kama vile ni official.
 
Watu wengine buana,hivi huko BICO ulifuata mashine au ulifuata rist?,maana mashine uliletewa ukaikataa na hela ukarudishiwa,sasa kinachokufanya upige kelele ni nini?,nyie ndio huwa mnarogwa mnaanza kusumbua ndugu zenu kuwapeleka kwa waganga
 
Last edited:
Nakushauri Ungemtafuta Dr.Elias mkuu wa BICO...Anapatikana pale COET block S umpe malalamiko yako.
 
Back
Top Bottom