Jipu la utapeli Chuo Kikuu Dar (UDSM)

Jipu la utapeli Chuo Kikuu Dar (UDSM)

Siri imefichuka, mhadhiri wa chuo aleta aibu.. iyo pesa ni ndogo sana kwake lakini hizi tamaa za madili na maendeleo ya fasta fasta ndo yanapelekea haya mambo kutoisha!! Tuache tamaa tujifunze kuridhika na uhalisia wa maisha yetu ama tupambane kusaka noti bila kutumia 'short-cuts' zinazovunja sheria za nchi. Aibu itatukuta kama hii ya kuanikwa hadharani na wasiopenda ujanja ujanja.
 
Kama unawadogo zako wamexhaguliwa usdm wambie wafute akilini mwao kuwa pale kuna degree za chupi na dili. Usipofanya hivo jiandae kuwapokea na mabagi huko kijijini kwenu huku wakilia. Hakuna degree ya dili mliman. Ingekuwa hivo kilamtu angemaliza na first class. Mjomba ata jentleman kuipaka pale watu wanavua mashati
Nyie mabingwa wa kuitetea udsm utadhani ni nyie pekee mmesoma pale. Udsm kuna matatizo saana. Utawala, urasimu na ufundishaji wa kizamani kwa vitabu na teknolojia ya siku nyng. Kama wewe exposure yako ni udsm peke yake, utazidi kushangilia.
 
Mmefanya vizuri sana na kizalendo pia.Lakini kwa akili yangu ya kichaga ambayo inawaza pesa saa zote hapo ningekuwa consequentialist.
 
njoo dit tukutengenezee mashine

Nielekeze vizuri nitafika kwani bado tunahitaji mashine nyingi, kwa kuanzia ni hizo za vibrating block machine na phase ya pili itakuwa ni mixer na phase ya tatu itakuwa ni molds tofauti za paves, hollow blocks na zingine tofauti tofauti.
 
Mmefanya vizuri sana na kizalendo pia.Lakini kwa akili yangu ya kichaga ambayo inawaza pesa saa zote hapo ningekuwa consequentialist.

Nimekuelewa na hata mume wangu alikuwa na fikira kama zako lakini nikaona ni heri tufanye vitu kihalali. Huyu Mzee rafiki zake 90% ni Wachaga inawezekana nae ana fikira za Kichaga
 
Nyie mabingwa wa kuitetea udsm utadhani ni nyie pekee mmesoma pale. Udsm kuna matatizo saana. Utawala, urasimu na ufundishaji wa kizamani kwa vitabu na teknolojia ya siku nyng. Kama wewe exposure yako ni udsm peke yake, utazidi kushangilia.
Bro mbona unatoka mapovu. Kwanza ata sijasoma udsm ila naandika fact ninayo ijua kuhusu udsm. My be kama kunajipya kuhusu udsm nambie. Ila unayoyasema tushayasikia hata vyuo vyetu tulivosoma
 
Bro mbona unatoka mapovu. Kwanza ata sijasoma udsm ila naandika fact ninayo ijua kuhusu udsm. My be kama kunajipya kuhusu udsm nambie. Ila unayoyasema tushayasikia hata vyuo vyetu tulivosoma
Huijui fact kama hujasoma. Nimekuwa pale miaka 5 kwahiyo kuendelea kuwaaminisha watu ujinga ni ujinga. Ndio maana nikasema km hujaona utaendelea kufagilia ujinga.
 
Nimeamua kwa roho safi kabisa kuliweka hili hapa JF kwani sielewi pengine pa kulipeleka.

Napenda ieleweke kuwa mimi ni muhanga wa hili tukio na kwa kuwa nilihusika na mume wangu, nimemuomba aelezee yeye kisa hiki, ingawa amenisihi kuwa "achana nao" lakini nimeona kuwa si vyema kuliacha tu kwani leo yametukuta sisi na tumeshaingia hasara ya muda, kuna wengine wengi na pia kuna mali nyingi za Watanzania zinatumika bila huruma kwa faida ya wachache na isitoshe na linaloniuma zaidi, huwa ninajiuliza "ikiwa waalim wa chuo kikuu ni namna hii, hao wanafunzi wanaowazalisha hapo wakoje?" Endelea.

Nawasilisha.

Ikishindikana kupata hizo machine hapa nchini, jaribiesheni hawa wa afrika ya kusini.

Brick and Block Making Machine Manufacturers | Hydraform
 
Sasa ipi ilikuwa bora kwako ni risiti au machine?wewe ungemalizana nao na ukachukua ulichotaka ungepungua nini?au una uchungu sana na pesa zisizokuhusu?

Ni watu design yako ndiyo mnatuharibia nchi!!!!
 
Pole sana, na hongera kwa kuwa mzalendo ila haya ni ni mambo ya kawaida sana hapo mjini na ndio namna watu wanavyoish, cha msingi nyie mngechukua hizo mashine tu, sababu hata hiyo biashara mnayoenda kufanya dynamics kama hizo ndio potential, yan kifupi bongo ni ile dhana ya nipe nikupe.
 
Huijui fact kama hujasoma. Nimekuwa pale miaka 5 kwahiyo kuendelea kuwaaminisha watu ujinga ni ujinga. Ndio maana nikasema km hujaona utaendelea kufagilia ujinga.
Miaka mitano???? Mwaka gani mkuu. Mbona pale hakuna koz ya miaka mitano!!!. My be ardhi zaman my be ila sinaiman na ww
 
nani kakuambia kuwa yeye alikuwa anasoma pale ye kasema amekuwa pale kwa miaka mitano labda alikuwa anafanya kazi.usikurupuke kujibu kabla hujaelewa vizuri
Unaweza kaa sehemu usijue kinachoendelea. Kwan ww unahisi unajua kilakitu sehemu unayokaa. Angesema alikuwa anaganyakazi BICO ninge mwelewa.
 
Kijana, mashine za thamani ya shillingi million mbili laki saba zitengenezwe ndani ya chuo kikuu, kwa mashine za chuo kikuu, kwa muda wa chuo kikuu, na wataalam wa chuo kikuu halafu zitoke bila idhini, kiwizi-wizi apewe bila risiti, huoni kuwa ni tatizo hilo?
Mbona husemi hilo tatizo?ukilala bila ya net mbu watakutafuna na baadaye utapata malaria sasa hapa malaria ndo tatizo,weka tatizo la ww kutengenezewa machine uliyoitaka kwa bei uliyoridhia baada ya kukubaliana kwa kutokupewa risiti tu,akili kidogo tu hapa.
 
Huijui fact kama hujasoma. Nimekuwa pale miaka 5 kwahiyo kuendelea kuwaaminisha watu ujinga ni ujinga. Ndio maana nikasema km hujaona utaendelea kufagilia ujinga.
Kwanza swala la kujiuliza si yalikuwa ni makubaliano yao wenyewe. Mtu tena unaambiwa utafanyiwa kazi bila ya risit unakubali afu mwisho wa siku unalailumu BIco. Kwan BICO ndo waliomwambie asipewe risit. Mambo mengine hayahitaji uwena degree kutambua. Hili ata wahindi wa kariakoo wanalijua fika mkuu
 
Umesoma kuhusu invoice ya BICO iliyotolewa?

Nimerudia tena kusoma sijaona pahala BICO imelaumiwa nilichokiona ni watendaji wanalaumiwa kutumia muda, vifaa, na jina la BICO kiwiziwizi kujinufaisha wao binafsi.
 
Nimekuelewa na hata mume wangu alikuwa na fikira kama zako lakini nikaona ni heri tufanye vitu kihalali. Huyu Mzee rafiki zake 90% ni Wachaga inawezekana nae ana fikira za Kichaga
Aunt zainab bana....umefanikiwa kunichekesha asubuhi hii
 
Back
Top Bottom