ZIWEKE WEWE BASI.details zingine ungezificha tu
ZIWEKE WEWE BASI.details zingine ungezificha tu
Hivi mnasoma kweli maelezo ya mhusika mkaelewa? Bora kutokukomenti tukakuona una busara kuliko kuongea usichokielewa ukaonekana mpuuzi.nimeisoma hyo thread vizuri sana bila kuchoka but tuwe makini sio kila kitu kusema sawa tu wakati kwa hayo maelezo sidhani kama chuo kina tatizo,acheni kuikandia udsm,huyo dada ma mme wake walitaka hudima pasipo kufuata njia sahihi na ndo chanzo cha usumbufu wote huo!mmepatana mtaani kwa taasisi kubwa kisha unataka kuchukulia ofisini ,hyo protocol sijaifahamu ,ungalikua umeenda ofisini direct sawa hapo ningekuelewa ila mtu mwenyewe mnachukua namba zake sinza kwanini msingeenda chuoni na mkafuata taratibu zote pasipo hata kuonana na mtengenezaji?,nadhani kuna walakini hapo !tuache tabia mbaya kama hizi !
Dai risiti kwa maendeleo ya nchi yako. Acha ufisadiWatu wengine buana,hivi huko BICO ulifuata mashine au ulifuata rist?,maana mashine uliletewa ukaikataa na hela ukarudishiwa,sasa kinachokufanya upige kelele ni nini?,nyie ndio huwa mnarogwa mnaanza kusumbua ndugu zenu kuwapeleka kwa waganga
Bora umejielezaMmefanya vizuri sana na kizalendo pia.Lakini kwa akili yangu ya kichaga ambayo inawaza pesa saa zote hapo ningekuwa consequentialist.
Hivi mnaelewa kinachoandikwa kweli? Upo nje na kilichosemwa. Don't rush to comment something you don't understandKwanza swala la kujiuliza si yalikuwa ni makubaliano yao wenyewe. Mtu tena unaambiwa utafanyiwa kazi bila ya risit unakubali afu mwisho wa siku unalailumu BIco. Kwan BICO ndo waliomwambie asipewe risit. Mambo mengine hayahitaji uwena degree kutambua. Hili ata wahindi wa kariakoo wanalijua fika mkuu
Kama kaonewa basi atangulie yeye Wadelanga huko unakosema. Hapa ndiyo sehemu sahihi.Zainabu, naona umeligeuza hili jukwaa kuwa la 'Mikingamo'. Kuna mambo mawili ulipaswa kuzingatia. Kwanza, hiki ni chombo cha habari hivyo tuhuma zozote kumhusu mtu yeyote zinapaswa zichapishwe (published) katika mazingira ambayo pande zote mbili zinapata fursa sawa ya kujieleza. Pili, hata kama tuhuma ulizotoa zina ukweli, hilo halimuondolei huyo mwalimu wa UDSM haki yake ya faragha (right to privacy). Kuchapisha jina na namba yake ya simu ni kosa kubwa. Hizo taarifa ulipaswa uzipeleka kwenye mamlaka husika kama umeamua kuwa whistle-blower.
Bado mwalimu wako alikuwa na kazi nzito. Kiswahili ulipata ngapi vile?!Ha ha kweli mawazo huru. Kwan ata miapia nakuhurumia unaepiga by-pass afu ukilizwa unalalamika. Hivi walimu ndo huwawandisha watukutofata utaratibu. Huyo mwalimu akikufundisha hivo atakuwa taira na punguwan
Kiswahili hakihusiki hapa bro. Kwan maada na kiswahili wap na wap.Bado mwalimu wako alikuwa na kazi nzito. Kiswahili ulipata ngapi vile?!
Alafu sio wote humu jamii forum ni watanzania sawa!!Bado mwalimu wako alikuwa na kazi nzito. Kiswahili ulipata ngapi vile?!
Sasa kama wewe sio Mtanzania ina maana hii mada kiasi flani haikuhusu, utapeli haukubaliki. jitahidi kusoma habari yote uielewe utapata majibu tu, msilaumiane hapa. huyo mama nadhani hajakosea kuileta mada hapa JFAlafu sio wote humu jamii forum ni watanzania sawa!!
Maada =madaKiswahili hakihusiki hapa bro. Kwan maada na kiswahili wap na wap.
Sio uteteziAlafu sio wote humu jamii forum ni watanzania sawa!!
Huna jipya!Sio utetezi
Kwani chuo kikuu cha dar ni watanzania tu wanasoma???. Au mnapo enda ulaya mnakuwa na nyie wa ulaya???. Eboo!!!!Sasa kama wewe sio Mtanzania ina maana hii mada kiasi flani haikuhusu, utapeli haukubaliki. jitahidi kusoma habari yote uielewe utapata majibu tu, msilaumiane hapa. huyo mama nadhani hajakosea kuileta mada hapa JF