Jipu la utapeli Chuo Kikuu Dar (UDSM)

Jipu la utapeli Chuo Kikuu Dar (UDSM)

Umesoma kuhusu invoice ya BICO iliyotolewa?

Nimerudia tena kusoma sijaona pahala BICO imelaumiwa nilichokiona ni watendaji wanalaumiwa kutumia muda, vifaa, na jina la BICO kiwiziwizi kujinufaisha wao binafsi.
Mimi na mlaumu kwanza mtoa maada. Je kama alikutana na tapel ambaye alikuwa ata sio mhusika. Hawa watajwa hapo juu wote ni waajiriwa wa BICO?. Na kwanin yy apitie by- pass? Ukishajua majibu ya haya ukweli utafahamika
 
Mbona husemi hilo tatizo?ukilala bila ya net mbu watakutafuna na baadaye utapata malaria sasa hapa malaria ndo tatizo,weka tatizo la ww kutengenezewa machine uliyoitaka kwa bei uliyoridhia baada ya kukubaliana kwa kutokupewa risiti tu,akili kidogo tu hapa.

Kwanza kumbuka si mimi aliyetaka kutapeliwa akastuka. Pili, hata unachokomalia kukipinga sikioni.

Tatu, Inaonesha wewe imekuuma sana huu wizi wa watu kutumia mali ya umma kuanikwa hapa.

Tunatumai hii itakuwa chachu ya kutumbua majipu ya ubadhirifu chuo kikuu.
 
Huyo aliyetaka hiyo machine hafikirii kwa kutumia kichwa chenye ubongo.
 
Mimi na mlaumu kwanza mtoa maada. Je kama alikutana na tapel ambaye alikuwa ata sio mhusika. Hawa watajwa hapo juu wote ni waajiriwa wa BICO?. Na kwanin yy apitie by- pass? Ukishajua majibu ya haya ukweli utafahamika

Mleta mada kaweka majina na namba za simu wazi kabisa, sasa kama hao matapeli ni wa ndani ya chuo kikuu au nje ya chuo kikuu na wanaweza kufanya utapeli ndani ya chuo kikuu basi kuna mapungufu makubwa ya kiutendaji hapo chuo kikuu.

Unamlaumu mleta mada ambae kakataa kufanya biashara ambayo kastuka kuwa si ya halali na kaweka wazi kila kitu?

Kwa watu kama wewe, Tanzania ina safari ndefu sana ya kujikwamua kifikra.
 
Kwa kifupi hapo chuo kunampaka wanafunzi matapeli hii aimanishi kuwa chuoni hakuna ulinzi. Kilamtu anakuja na maswahibu yake toka kwao. So usilaumu saana
 
Nyie mabingwa wa kuitetea udsm utadhani ni nyie pekee mmesoma pale. Udsm kuna matatizo saana. Utawala, urasimu na ufundishaji wa kizamani kwa vitabu na teknolojia ya siku nyng. Kama wewe exposure yako ni udsm peke yake, utazidi kushangilia.

Hata upige kelele vip na ukichukie chuo cha udsm bado kitabaki kuwa chuo bora
 
Kwa kifupi hapo chuo kunampaka wanafunzi matapeli hii aimanishi kuwa chuoni hakuna ulinzi. Kilamtu anakuja na maswahibu yake toka kwao. So usilaumu saana
Hapa yameainishwa madudu ya hapo chuoni na tunatumai hii imekuwa chachu ya wengine kufunguka.

Mabadiliko ya kweli huanzia kwako binafsi na Bibi Zainab Tamim anastahili sifa kwa hilo. Kuna mtu juu huko kaandika "wakipatikana 1000" kama huyu bibi Tanzania itakuwa njema.

Tunahitaji whistle blowers wenye ujasiri kama huyu bibi.
 
Unakomaa na risiti ili iweje? kwamba ww ni mtakatifu sana?? au unataka umaarufu wa kitoto humu?

Mimi nilijua umetapeliwa ela zako kumbe Mashine tayari, ila unataka haki?
Kwa taarifa yako hakuna haki duniani, hapa ni unyama unyama tu.
Msilete hoja za kuchafuana humu
Kwa ID yako huwezi kuwa na wazo la kujenga
 
Watu wanaoona kuwa kuzikataa mashine kwa ajili ya risiti wana upeo finyu na hawana uzoefu hata tone wa kuendesh projects. Hizo mashine zikisumbua au zikifa na watengenezaji (BICCO-UDSM) hawazijui officially unadhani nani anakula hasara hapo? Hao wakina Wadelanga wakishakula hela zao unadhani watahangaika na after sale service?
 
Chuo kikuu Dar es salaam ni kitovu cha dili,mimi nashangazwa na maboza kupeleka maji mabibo hostel au UBUNGO hostel pale stendi ya mkoa wakati bomba kubwa limepita mita 50 tu pale benki ya NBC
 
Inaonesha hujaisoma vizuri thread.

Tumepatana ofisini na tumelipa ofisini, ni wao waliopiga simu tukaichukulie mtaani tukakataa.

Ulitaka taratibu za hapo atueleze nani kama si hao wahusika? Ambao ukinisoma vizuri utaona kuwa hao hao ni matapeli na wabadhirifu waliotengeneza hizo mashine kwa kutumia vifaa vya chuo, muda wa chuo, na mpaka wametoa Invoice za chuo (BICO) ambazo kwa jinsi inavyoonekana wanazo zao ambazo hazifiki kwenye uongozi wa chuo (BICO) na wameweza kuzitoa mashine nje ya chuo na kutaka kutupachika nazo kama vile sisi tumeshirikiana nao kuiba.

Kuchukua namba Sinza au kwengine popote si shida, hiyo ilikuwa ni kujulishwa tu, au wewe ulizaliwa unajua kila kitu?
uko sawa,mimi nimrsoma kwa makini(reading between the lines)
 
Zainabu, naona umeligeuza hili jukwaa kuwa la 'Mikingamo'. Kuna mambo mawili ulipaswa kuzingatia. Kwanza, hiki ni chombo cha habari hivyo tuhuma zozote kumhusu mtu yeyote zinapaswa zichapishwe (published) katika mazingira ambayo pande zote mbili zinapata fursa sawa ya kujieleza. Pili, hata kama tuhuma ulizotoa zina ukweli, hilo halimuondolei huyo mwalimu wa UDSM haki yake ya faragha (right to privacy). Kuchapisha jina na namba yake ya simu ni kosa kubwa. Hizo taarifa ulipaswa uzipeleka kwenye mamlaka husika kama umeamua kuwa whistle-blower.
 
Kwanza swala la kujiuliza si yalikuwa ni makubaliano yao wenyewe. Mtu tena unaambiwa utafanyiwa kazi bila ya risit unakubali afu mwisho wa siku unalailumu BIco. Kwan BICO ndo waliomwambie asipewe risit. Mambo mengine hayahitaji uwena degree kutambua. Hili ata wahindi wa kariakoo wanalijua fika mkuu
Kama umesoma mada Na hiki ndo ulichoelewa, naanza kuwahurumia walimu waliokuwa wanakufundisha.
 
Kama umesoma mada Na hiki ndo ulichoelewa, naanza kuwahurumia walimu waliokuwa wanakufundisha.
Ha ha kweli mawazo huru. Kwan ata miapia nakuhurumia unaepiga by-pass afu ukilizwa unalalamika. Hivi walimu ndo huwawandisha watukutofata utaratibu. Huyo mwalimu akikufundisha hivo atakuwa taira na punguwan
 
Unakomaa na risiti ili iweje? kwamba ww ni mtakatifu sana?? au unataka umaarufu wa kitoto humu?

Mimi nilijua umetapeliwa ela zako kumbe Mashine tayari, ila unataka haki?
Kwa taarifa yako hakuna haki duniani, hapa ni unyama unyama tu.
Msilete hoja za kuchafuana humu[/QUOTE
muhimu uache utapeli si kutokwa povu.
 
Hii biashara iliharibikia Loliondo Sinza.Badala ya kuwaelekeza jinsi ya kufika ofisini chuo mliekezwa mkutane Loliondo Sinza.....Hapo biashara ilianza kwa style ya dilidili, Mr Wandelanga alitaka kutumia fursa.Ila alichokosea ni kuichelewesha mashine ila angetengeneza ndani ya muda hii thread hata isingekuja hapa ingeisha kidilidili
 
Hapana. Kwanini iwe dili na tunalipa pesa taslim kihalali? Mashine aina hizo hizo zinapatikana nje ya chuo tena kwa bei nafuu kuliko hiyo tuliyotaka kuuziwa chuoni na pia unalipa na kupewa hapo hapo. Sisi tulikuwa "impressed" kwa kuwa chuo kina heshima kubwa sana na kuwa tutapata kitu kilichotoka kwa "wasomi". Bahati mbaya sana hao tuliokumbana nao walitaka ni wabadhirifu wa mali za umma na sisi tumekataa hilo.
 
Back
Top Bottom