Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,167
😛😛😛Hili si tukio la kwanza kusikia kuhusu hawa jamaa wa chuo. Kuna rafiki yangu alitaka atengenezewe mashine ya juice ya miwa walimsumbua kinoma ilifika karibu miezi mitatu. Ikabd mshkaji aende na polisi ndo wakaandikishiana baada ya siku 5 aje kuchukua mashine.
Ila kikweli pamoja na usumbufu jamaa wanaijua kazi yao. Mashine za ukweli
Ivi udsm ni wahuni😉😉😉. Nahisi bado hujawajua vizuri. BICO ni kisehemu tu na ni cooperation. Kumbuka udsm ni chuo sio cooperationWewe nae ni muhuni kama hao wa UDSM
Kama unawadogo zako wamexhaguliwa usdm wambie wafute akilini mwao kuwa pale kuna degree za chupi na dili. Usipofanya hivo jiandae kuwapokea na mabagi huko kijijini kwenu huku wakilia. Hakuna degree ya dili mliman. Ingekuwa hivo kilamtu angemaliza na first class. Mjomba ata jentleman kuipaka pale watu wanavua mashatiKila kitu ni dili hapa Tanzania. Hata degree unaweza kuipata kwa dili pale Mlimani. Awamu ya nne imeharbu hii nchi xana.
Kuna wengine pale ni madalaliMimi nilienda hapo hapo Udsm TDTC sikipita BICO nilipata mashine siku hiyo hiyo bila usumbufu ila mara nyingi hutoa wk moja
Sema wazee wengine pale ni njaaa watumbuliwe tu
Acha uvivu wa kusoma hakuna shortcutIna maelezo mengi nimeshindws kumalizia.naomba ambaye anaweza kunieleza kifupi tu
Utaamn hvyo. Maana wengi wana struggle kupata degree lakn believe me kuna ambao wao wana relax tu. Wanapata kwa kuhonga. Km unakomaa komaa lakn jua wengine wanapewa tu. Hutajua maana mengne hayasemwi hadharaniKama unawadogo zako wamexhaguliwa usdm wambie wafute akilini mwao kuwa pale kuna degree za chupi na dili. Usipofanya hivo jiandae kuwapokea na mabagi huko kijijini kwenu huku wakilia. Hakuna degree ya dili mliman. Ingekuwa hivo kilamtu angemaliza na first class. Mjomba ata jentleman kuipaka pale watu wanavua mashati
Ni heri umekubali kwmb sio kinachosemwa ni uongo. Nmekushangaa kushutumu mwshoni. Kuna mambo mengne huwezi kuyaona hadharani. Na huwez kusikia hata aliyenunua anatangaza ovyo ovyo. Ni hilo tu we komaa upate degree yako ila wengne ni cheap kuipata.Sisemi kuwa lililosemwa ni uongo, ila jaribu kutumia akili yako hapo kidogo. Kama kuna sehemu uliwahi nunua degree usifananishe na sehemu ambayo hata mguu hujawahi tia. Think outside the box, sio kila kitu ni siasa.
Haha wewe ni Alida au WadelangaIna maelezo mengi nimeshindws kumalizia.naomba ambaye anaweza kunieleza kifupi tu
nimeisoma hyo thread vizuri sana bila kuchoka but tuwe makini sio kila kitu kusema sawa tu wakati kwa hayo maelezo sidhani kama chuo kina tatizo,acheni kuikandia udsm,huyo dada ma mme wake walitaka hudima pasipo kufuata njia sahihi na ndo chanzo cha usumbufu wote huo!mmepatana mtaani kwa taasisi kubwa kisha unataka kuchukulia ofisini ,hyo protocol sijaifahamu ,ungalikua umeenda ofisini direct sawa hapo ningekuelewa ila mtu mwenyewe mnachukua namba zake sinza kwanini msingeenda chuoni na mkafuata taratibu zote pasipo hata kuonana na mtengenezaji?,nadhani kuna walakini hapo !tuache tabia mbaya kama hizi !
We dada unashida sana yani mtu kesha kutengenezea mashine amekuletea umekomaa na kudai risiti halafu hapa unakuja kulalamika na ku expose privacy za watu nyambafu, pamoja na hela zako kurudishiwa lakini hukomi pole sana umejichelewesha mwenyewe ulichoandika hakina mashiko.
Kama ungeweka wazi tangu mwanzo nia ya kutaka kupata risiti, bei ya mashine isingekuwa ndogo kiasi hicho