Jipu Kuu

Jipu Kuu

tumetoka mbali aisee..
kwa wakati ule vijana walitoka jkt walitumika kupeleka ujumbe na kujua jins gani watu wanaupokea vipi mustakbali wa uongozi, pia matakwa ya serikali yanapokelewaje, kwa wakati ule mwenge ilikuwa njia rahisi ya mawasiliana kati ya ujumbe wa serikali na wananchi hasa vijijini,lengo lilikuwa zuri sana. ila kwa sasa dunia imebadilika, nadhani mwenge uwamulike viongozi nao badala ya wananchi
 
Jipu linalokaribia kuwa kansa. Nipeni faida walau 3 za kuwa na mwenge jamani
5B.jpg

Kabla hatujakupatia hizo faida tatu hebu na wewe tupatie kwanza faida tatu za kukimbiza mwenge wa olympic
 
kwa wakati ule vijana walitoka jkt walitumika kupeleka ujumbe na kujua jins gani watu wanaupokea vipi mustakbali wa uongozi, pia matakwa ya serikali yanapokelewaje, kwa wakati ule mwenge ilikuwa njia rahisi ya mawasiliana kati ya ujumbe wa serikali na wananchi hasa vijijini,lengo lilikuwa zuri sana. ila kwa sasa dunia imebadilika, nadhani mwenge uwamulike viongozi nao badala ya wananchi
Asante kwa maelezo yako mujarabu mkuu
 
1.Kuhamasisha jamii juu ya kauli mbiu mbalimbali za serikali.
2.Hutumika kufungua miradi.
3.Ni ishara ya uhuru,umoja mshikamano wa taifa letu.
Huu mwenge ufutiliwe mbali tu kwa sababu:- 1.hizo kauli mbiu tunapaswa tuzifuate wote ajabu hao viongozi ndo wakwanza kuziharibu 2.Miradi mingi iliyoanzishwa na serikali sio endelevu 3.Tanzania hakuna uhuru,kama upo sauti ya umma ingesikilizwa Zanzibar,wala mshikimano haupo na kama tunautaka basi tushirikiane kuzitumia mali za JAKAYA walizozipata kwa jasho letu ili tuwe sawa,kama ujamaa usemavyo.
 
1)Kumulika nje ya mipaka ya tanzania
2)kuonesha upendo palipo na chuki,
3)na amani kwa waliovunjika mioyo
 
Unapita kuweka mawe ya msingi hata ukiwa na nyumba yako unataka iwekwe jiwe la msingi waalike jamaa
huko mikoani mpaka guest house
kuna gest flani ipo kijijini kwetu ilifunguliwa na mwenge, buku tano usiku mmoja sema mwenye nayo ni kada wa kile chama chao
 
Ktk vitu ambavo havina faida tanzania ni pamoja huo mwenge kama vipi wangeuweka sehemu za makumbusho mwenye shida anaenda kuuangali. Sio kila siku wanazulula nao wee watu wameuchoka sasa.
Nasikiaga jamaa mmoja alikuwa amelewa amewahi kuuomba huo mwenge awashie sigara.
 
mkuu hili ni busha NA SIO JIPU kama ufikilivyo linahitaji operation na
sio kutumbuliwa
 
Back
Top Bottom