Ombudsman
JF-Expert Member
- Apr 18, 2012
- 3,565
- 3,735
nipe mfano wa mualifu aliemulikwa na huo mwenge.unapowaka humulika wahalifu,waovu na kuangaza bara zima la afrika kuwaona maadui. salam za mwenge ni ujumbe wa kiserikali kwa wananchi. kutambua muitikio wa watu kwa serikali, kuweka mawe ya msingi kwenye majengo ya serikali na kufungua mengine. nk
Kwanini kuna ziara za rais,waziri mkui,mawaziri na manaibu waziri kama mwenge unaweza kufikisha ujumbe wa serikali kwa wananchi na kuweka mawe ya msingi??