Jipu Kuu

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,849
67,285
Jipu linalokaribia kuwa kansa. Nipeni faida walau 3 za kuwa na mwenge jamani
5B.jpg
 
unapowaka humulika wahalifu,waovu na kuangaza bara zima la afrika kuwaona maadui. salam za mwenge ni ujumbe wa kiserikali kwa wananchi. kutambua muitikio wa watu kwa serikali, kuweka mawe ya msingi kwenye majengo ya serikali na kufungua mengine. nk
 
Unamulika bara zima la Afrika...sio kweli mkuu. Yaani unamulika Bujumbura, Unamulika Somalia? Haupo serious mkuu
 
Faida 5? Ngoja nijaribu
1. Kueneza ukimwi Wakati wa mkesho
2. Kupoteza muda kwa watumishi
3. Kupoteza hela
4. Kuamasisha dini ya mashetani na moto ule
5. Kuanzisha mahusiano mapya ya mapenzi baina ya watumishi
 
Veri Naisi.
 
Back
Top Bottom