Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Auto roll kwa q11,13 na 15 tayari zipo sokoni
Sawa
utoroll software ya qsat q11g
- Bado hawajatoa software ya Q11
- ila kwa sasa waweza pata decoder ya autoroll (mpya) kwa bei isiyozidi 150,000 au chini ya hapo.
- Ninazo autoroll decoder wasiliana nami (simu: 0625 955 137) iwapo utahitaji

ku upgrade kwa kutumia q23g au q26g
- Software haziingiliani.
- Haiwezekani software ya Q26 ukaweka kwenye Q11
 
Mzigo bado upo
1. Freesat v7 combo
2. Freesat V7 max
FREESAT V7 COMBO & FREESAT V7 MAX

DECODER ZIPO na kwa sasa zitapatikana kwa bei ya TZS 125,000 tu

1. Decoder Model: FREESAT V7 MAX
View attachment 484075

View attachment 484076

View attachment 484077

2. Decoder Model: FREESAT V7 COMBO
View attachment 484071

View attachment 484072

View attachment 484073

JINSI YA KUPATA MZIGO

- Kwa wakazi wa DSM tu- Cash on Delivery

- Kwa wadau wa mikoani mzigo utakufikia kwa EMS/ njia ya BASI - Wewe utapendekeza njia ipi itumike, Ghalama ya kusafirisha ni juu yako. Utafanya malipo kwa utaratibu utakaopewa ndipo utumiwe mzigo

MAWASILIANO

- Call/sms 0717 54 57 62 / 0768 92 48 41
- Whatsapp +255 784 496 856

View attachment 484074
 
Kwa hitaji la Freesat v7 COMBO na Freesat V7 MAX

Tumia haya Mawasiliano 0717 54 57 62
 
Mi cjaelewa hiyo free sat na matumizi yake nieleweshe tafadhali kw faida ya wengi
 
FREESAT V7 COMBO & FREESAT V7 MAX

DECODER ZIPO na kwa sasa zitapatikana kwa bei ya TZS 125,000 tu

1. Decoder Model: FREESAT V7 MAX
View attachment 484075

View attachment 484076

View attachment 484077

2. Decoder Model: FREESAT V7 COMBO
View attachment 484071

View attachment 484072

View attachment 484073

JINSI YA KUPATA MZIGO

- Kwa wakazi wa DSM tu- Cash on Delivery

- Kwa wadau wa mikoani mzigo utakufikia kwa EMS/ njia ya BASI - Wewe utapendekeza njia ipi itumike, Ghalama ya kusafirisha ni juu yako. Utafanya malipo kwa utaratibu utakaopewa ndipo utumiwe mzigo

MAWASILIANO

- Call/sms 0717 54 57 62 / 0768 92 48 41
- Whatsapp +255 784 496 856

View attachment 484074
Mzigo bado upo

Wasiliana nami.
 
Naweza kupata software mpya ya Qsat 28? Sababu kuna baadhi ya channel za HD hazitoi sauti kama DHD Animal planet HD TLC HD na Ailang HD hizi zote hazitoi sauti channel zingine zote zinatoa sauti mpaka za HD kasoro hizo nilizozitaja vipi naweza kupata msaada?
 
Utalipia tena baada ya miezi mitatu kwa account ya cccam.

Nitakupa namba za kufanyia malipo.

Karibu
Utalipia 75,000 sawa na sh. 25000 kwa mwezi.. Kama sitaki kulipia kabis ninunue ipi
 
Bei ya hiyo decoder ya 1,23000 mkuu ni pamoja na dishi?
Na hilo dishi ni kubwa au dogo?
Dishi lenyewe unauzaje???
 
Utalipia 75,000 sawa na sh. 25000 kwa mwezi..
ilikuwa zamani, cccam account zilikuwa zkifungua d*tv channel, kwa sasa hakuna.
Kama sitaki kulipia kabis ninunue ipi
Kwa sasa FTA decoder (haulipiii kabisa) zilizobora ni.
- Freesat V7 Combo & V7 max
- gsky
- qsat
- Alphabox
- Tiger etl
Ukipata moja kati ya hizo utapata channel za kutosha kwa kutegenea
1. Idadi ya lnb ulizoweka
2. Na sat. husika ulizo chagua

Pia waweza Tafuta Android TV box ii uwe na wigo mpana zaidi.
 
Bei ya hiyo decoder ya 1,23000 mkuu ni pamoja na dishi?
Bei ni decoder pekee (Kwa sasa zinapatikana kwa order maalum tu - kupitia hii thread www.v.ht/buy4me )
Na hilo dishi ni kubwa au dogo?
FTA tv channel nyingi utazipata kwa dish kubwa, Ni vyema ukapata disha la FT6, na kama bajeti inaruhusu basi pata Dish la FT8 au zaidi
Dishi lenyewe unauzaje???
FT6 - TZS 120,000
FT8 - kuanzia 280,000 na kuendelea.

>> Pitia hii thread: http://bit.ly/2pTle42 Na pitia comment za wadau, utapata mwanga zaidi.

Karibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom