dkashombo2013
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 538
- 119
Animal Planet at 68.5°
00:2F4E0CB67A9407
01:7EE0F00CFFBF66
00:2F4E0CB67A9407
01:7EE0F00CFFBF66
Haiwezekani kwa hizi decoder zao za sasa.Mkuu hakuna namna waweza tumia azam tv kuapata channel zaidi ya zile walizoweka wao??? Haswa za dini??
Dish la FT6 ni kati ya TSH 90'000 - 120'000Gharama zake zipoje mkuu
Chaneli 100 bure hapa ni suluhisho na njia ya kuepuka visimbusi vya kulipiaMpeg4 nzuri na standard kwa picha bei gani
Mwl hii habari ni kwangu tu au ? Alphabox imekata channel za Sports24 alike nimebaki Na HBO hizi zingine ziko scrambled tatizo ni nn MKUU , another ninayo Qsat11 niifanyeje nione Cops Na Euro
Mkuu I admire ur help Mungu akubariki kazi yako ni njema mnoSwala la Kwanza: ALPHABOX
- Connect 3G modem na fanya upgrade kwa internet
Swala la Pili: QSAT Q11
- Download na upgrade kwa hii software: Q11 Download Link: 1512 Q11G SDB3_MA_V8.05.25_20160525.bin - Share Anything with pCloud
- Kisha tumia hizi keys
MTN
ProID: 004147
Key00: 4032 C930 2B9478
Key01: FFF A91 E97 B2570
SONY
ProID: 003900
Key00: 8f 4e 38 fa 67 74 ff 00
Key01: d1 65 6b c5 65 a9 e6 00
DISC/APL
ProID: 004064
Key00: 2f 4e 0c b6 7a 94 07 00
Key01: 7E E0 F0 0C FF BF 66 00
- Hadi hapo una uwezo wa kuona Cops & euro
ZIADA:
1. Waweza kuweka cccam account ya 16E kuna mchannel 6 za mpira, Utapewa BURE test account ya saa 12 kabla ya kulipia account.
2. Waweza kutumia pia free au pay IPTV kuweza kuona cops/ euro 2016
http://www.lemmymorgan.com/free-cheap-channels-where-you-can-watch-euro-2016-copa-america/
mm nahitaji io account nipe namba yako ya simu ili tuwasiliane
- Karibu
Mi nilikuwa nazungumzia TV varzesh ya pale Apstsr-76.5ºE ku!Varzesh TV inapatikana katika
Satellite: Intelsat 902 ,Position: 62.0E
Anga hii picha
Ni vigumu kuweza kuipata hii Tv channel, Beam yake iko mbali.![]()
Mi nilikuwa nazungumzia TV varzesh ya pale Apstsr-76.5ºE ku!View attachment 355186