Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

mwl. me nimegeuza dish naangalia fta za Amos. nahitaji hizi updates?
  • Kwa sasa hazihitajiki
  • Utahitaji hizi update iwapo tu unataka u_connect kwenye server, ili kufungua zile channel zingine
 
Server ilikuwa haipatikani kabisa vp imerudi upya mwalimu? Manake ilikuwa giza tupu....
 
Server ilikuwa haipatikani kabisa vp imerudi upya mwalimu? Manake ilikuwa giza tupu....
  • Imerudi na Server inapatikana iwapo uta_upgrade software ya receievr yako.
  • Update file zote nimeweka hapo juu.
 
Kwa wapenzi wa mpira, Ss3 haishiki ila mechi zinazoonyeshwa ss3 huonyeshwa pia max1.Jinsi ya kubadili lugha kwenda kiingereza katika channel ya max 1.Bonyeza button ya audio katika remote yako, afu chagua AUD 2.Nilifanya hivyo jana mechi ya Chelsea na Liverpool nikapata uhondo kwa lugha ya kiingereza.100% inakubali katika Qsat
 
Acount ipi inayo fungua hizo?
 
Avatarcam, mcheki mwalimu bei yake ni kama elfu 55 nadhani. Nilisema toka zamani cccam zipo stable ila avatarcam ni uhakika.
 
Daaah Nimekula shule nzuri humu... sasa ngoja nijipange kwa utekelezaji.. DSTV wamezidi wizi, kila siku bei zinapanda kisa dola

Mkuu Mwl.RCT ntakutafuta soon!
 
Last edited by a moderator:
  • Bei ya AvatarCam ni TSH 60'000 [ Angali post #1 hapo juu]
  • Kwa wiki hii yote nitauza kwa TSH 55'000 tu [ Limited time Offer ]
  • Tumia mawasiliano yangu hapo juu kwa hitaji la AvatarCam Account & Qsat Decoders
Acount ipi inayo fungua hizo?

Avatarcam

Avatarcam, mcheki mwalimu bei yake ni kama elfu 55 nadhani. Nilisema toka zamani cccam zipo stable ila avatarcam ni uhakika.

Mara ya mwisho alikuwa anauza 60 elfu,
 
mw1rct_CAm.png
MPEG4 DECODER INSTOCK

  • Speed HDs1
  • Qsat Q28G - Combo: DVB -S2 & T2 - Hapa waweza kutumia Antena ya kawaida au Dish au Vyote kwa pamoja kupta TV channel
  • Qsat Q26G
Karibu
 
mw1rct_CAm.png
MPEG4 DECODER INSTOCK

  • Speed HDs1
  • Qsat Q28G - Combo: DVB -S2 & T2 - Hapa waweza kutumia Antena ya kawaida au Dish au Vyote kwa pamoja kupta TV channel
  • Qsat Q26G
Karibu

Hii Qsat28 imekua hewwani mkuu
 
Je una QSAT au SPEED HDs1 haionyeshi kwa sasa

  • 1_Update software ya receiver yako, Download software ya Receiver yako kwenye Post #1 hapo juu
  • 2_Weka ON/ Activate AvatarCam Account
Iwapo AvataCam imeisha muda wake na unahitaji ACAMHD account kwa TSH 55K nipigie 0717 54 57 68
 
Kwa watumiaji wa
  • XMASTER 2 & XMASTER 3
  • Wasiliana nami kama bado upo OFFLINE
  • Call: 0717 54 57 62
 
  • Bei ya AvatarCam ni TSH 60'000 [ Angali post #1 hapo juu]
  • Kwa wiki hii yote nitauza kwa TSH 55'000 tu [ Limited time Offer ]
  • Tumia mawasiliano yangu hapo juu kwa hitaji la AvatarCam Account & Qsat Decoders
[ Limited time Offer ] - FINISHED Today at 12:00hr
  • AvatarCam Codes Now available for Only TSH 60'000/
  • Call 0717 54 57 62
  • Karibu
 
naomba mnisaidie hizi acount ku active hususan hii ya ku fungua 22.0w ambayo ni spycam wapi niingie na ni active shukrani decorder nili ireset lakini nilichukua hilo file na nikafanya installaion by usb hii moja kila niki conect iko please wait hii nyengine sujui wapi ni active shukurani kwa wote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom