Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Mringo

Upo sahihi, BEST HD4u uingizaji wa BISS KEY sio user friendly kama tulivyozoea katika receiver nyingine.

Ni changamoto, yabidi tutafutie ufumbuzi. Nitafanyia kazi, nikipata ufumbuzi nitakujuza. Nawe ukipata ufumbuzi nijulishe.
 
Last edited by a moderator:

Mwl huwezi kuwacheki wale wachina waliokupaga upgrade yake wakupe mwongozo??.. Maana nimeshachemsha bongo sana sijafanikiwa
 
Last edited by a moderator:
mkuu vipi bado hakuna update zozote mpaka sasa na vipi kuhusu hizo cccam za reunion 16E unazo na bei zake zikoje
 
Update iliyopo ni kwa watumiaji wa SPEED HDSI na QSAT Q26
  • Kuna software update kwa hayo matoleo mawili
  • Hii software update itafanya hizi receiver ziendelee kufungu Canal 22W
  • Download link: | Speed HDs1 Hapa & QSAT Q26G Hapa
  • Soon kutakuwa na Software update kwa matoleo mengine ya Qsat ili kufungua 36E Channel
JINSI YA KUFANYA SOFTWARE UPDATE
1. Download .BIN file
2. Copy na weka kwenye USB Flash
3. Baada ya Kuchomeka flash kwenye Receiver Bonyeza MENU > UPGRADE > USB UPGRADE > Hapo chagua .BIN file kisha bonyeza OK
4. Itakuletea ujumbe kuwa Software update imekamilika, Disconnect receiver toka kwenye power, Then chomoa flash na washa reciver yako

HAPO RECEIVER IKO TAYARI KWA MATUMIZi

KUHUSU CANAL 16E CCCAM ACCOUNT
  • Zipo
  • Bein ni TSH 75'000 kwa miezi mitatu na 120'000 kwa Miezi sita. KARIBU
mkuu vipi bado hakuna update zozote mpaka sasa na vipi kuhusu hizo cccam za reunion 16E unazo na bei zake zikoje
 
Mwl.Rct
Mwalimu vipi hujapata update za best hd 4u??
 
Last edited by a moderator:
QSAT NEW SOFTWARE UPDATE- MAY 2015

CLICK_ILI_KUDOWNLOAD.jpg

Qsat yenyewe hainyoshi siku hizi
 
Mkuu vipi kuhusu Xmastet. Tufanyeje kupata update.
 
Mkuu vipi kuhusu Xmastet. Tufanyeje kupata update.
  • Hiyo iko compatible na software ya Q11
  • Download HAPA |
    Code:
     https://drive.google.com/open?id=0B0RADSNmMIPRcFh0ZncxVENtTE0&authuser=0
 
Mwl nasikia queen imerudi vizuri sana na Mimi Nina xmaster ninaweka file gani niinjoi
 
kuhusu 16E hii beam yake kwa tanzania ni ngumu kluipata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom