Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Habari Ndugu Rlukaku

Weka hizi Taarifa muhimu ili kufanikisha kuuza hiyo receiver yako
  • Je ni mpya au imetumika?
  • Kama imetumika AvatarCam Account imebakiza muda gani?
  • Je Unapatikana wapi? Lindi, Kigoma au Mwanza?
  • Je wakupate vipi? weka mawasiliano yako.
Ninayo Q23g nauza laki na nusu tu...
 
Last edited by a moderator:
inamaana hata ile 22.0w hazifunhui
>> 22W inafunguka kupitia hizi account SpeedCam na SpyCam

Si avatar wala CCCAM. visimbizi vimenuna. Tuvitupe??
>> CCcam account zilizopo online ni (i) Canal 16E Reunion - Utahitaji Dish kubwa ili kuipata Beam yake (ii) ZAP 36E

>> Pia waweza kutumia IPTV account katika kisimbuzi chako

>> Vile vile kuna BeIn Sports 1 HD; BeIn Sports 2 HD;BFM TV HD; W9 HD; M6 HD;ambazo utazipata hapa Eutelsat 7A 7°E kwa kutumia hizi TP:12.521H27.500 na Biss KEY ya kutumia ni: 26 05 82 AD 05 02 81 88

>> Kuwa na IKS Decorder ni faida, sababu una option nyingi za kuitumia utakavyo
 
HORTBIRD, BEINSPORTS AND MBC THE ONLY ALTERNATIVES FOR NOW.


The struggle still on and as at now, no dongle or account is working now but all hope is still not lost. Engineers are still working on the sever to bring back service to all dongle/ account users. Qsat been the only man standing also went off line some couple of weeks ago and till now, sever is still not back. This is not the end of dongles as i always say because there are still loop holes for chiness ingineers to tap in. To me,dstv has still not done what is expected of them and not untill their huge monthly bills are slashed down, dongles and account will continue to work. Azsky engineers are not asleep but seriously working things around but for tv1, i think they are about bringing something new this time but am still waiting to hear something from them.


Fta( free to air channels) has now become the only alternative. Free to air channels are the most reliable means of watching television but just that, most of them don't offer or show live matches. Free to air are only good for movies,news and entertainment but no active sports programmes. Other free to air like beinsport shows all laliga and champions league matches including seria a and french league. Hortbird channels offer news and movies whiles mbc channels shows only movies but in hd channels.


Beinsports has only seven channels and in french language with only two beinsport channels which are, beinsport hd 1 and beinsporthd 2. The hustler hd shows adult movies. To get beisports, you need a 90cm dish to be able to track their signal. Beinsports are open with a key and currently the new key is available and please contact your local installer for more help.


MBC channels don't require any biss key. It is a free to air channel and has only ten channels all in hd purposely for movies only. You need 90cm to be able to track that too.


Hortbird channels need no biss key and comes with over 100 channels and more. This package comprises of both news and movies with little sports. This package is good for news lovers as you get bbc. france 24,aljazeera, cnn etc. Cartoon network and boomerang is also available for kids. Channels like my tv promo, wap tv, Africa movie net and citizentv will give you African movies. You need 65cm to track this channels. You can call or contact me for any kind of assistance or installation of any king of satellite.


All dongles and account are planning for a come back so let's keep all fingers accross wait patiently for them because their end hasn't come so all hope is not lost. Keep your various account/dongles inplace because they can come back anytime from now.

SOURCE
Code:
[/SIZE][/FONT]https://solomonlaboriel.wordpress.com/[FONT=courier new]

************​
 
izo canal 16.0e reunion dishi kuba la futi ngapi kiasi unaweza kupata beam yake
 
Kuhusu hii biashara ya hii kitu kwann msisubiri hadi ikae vizuri. Maana hapa tuwe wakweli ni dhambi kubwa kuongopa wakati ukweli unajulikana. Ikikaa vema tupeane updates.
 
>> CCcam account zilizopo online ni (i) Canal 16E Reunion - Utahitaji Dish kubwa ili kuipata Beam yake (ii) ZAP 36E

>> Pia waweza kutumia IPTV account katika kisimbuzi chako

>> Vile vile kuna BeIn Sports 1 HD; BeIn Sports 2 HD;BFM TV HD; W9 HD; M6 HD;ambazo utazipata hapa Eutelsat 7A 7°E kwa kutumia hizi TP:12.521H27.500 na Biss KEY ya kutumia ni: 26 05 82 AD 05 02 81 88

>> Kuwa na IKS Decorder ni faida, sababu una option nyingi za kuitumia utakavyo

Kuhusu hii biashara ya hii kitu kwann msisubiri hadi ikae vizuri. Maana hapa tuwe wakweli ni dhambi kubwa kuongopa wakati ukweli unajulikana. Ikikaa vema tupeane updates.
  • Ndugu Mtali
  • Mbona iko wazi HAKUNA account yeyote yeyote inayofungua D*TV kwa sasa, Au nitakuwa sijaeleweka hapo juu.
  • Ni swala la Kusubiri
  • Ila mbadala ndio huo nilioeleza hapo juu
  • Kukiwa na Update nitawajuza
 
Last edited by a moderator:
This is a bad news for all of us watching dstv without the official dstv receiver. All account and dongles are offline due to dstv hard upgrade on all accounts and dongles making them go offline. Accounts like, tv1 account, killer account, a one account, supertv account, w-share account qsat avatar account, a plus, azsky , besthd are offline and not showing any channels. Dtsv did a good job this time but that does not means they've got it all right this time. And not untill the y slash down their prices, dongles will still continue to work no matter the upgrade and attacks.
Tv1 and azsky will anytime soon come back online but i can't tell when but i pray it comes back soon.
source . SATELLITE INFOS
 
Mwl naomba mwongozo wa jinsi ya kuedit biss key kwenye best hd 4u..nitashukuru sana
 
Mwl naomba mwongozo wa jinsi ya kuedit biss key kwenye best hd 4u..nitashukuru sana
m_IM1.jpg

Kwenye Remote Bonyeza MENU >> INSTALLATION >> PATCH - Hapo utaingiza key husika


m_20140101000512.jpg


NB: BeIN Sport tulizokuwa tunapata kwa hizi key 26 05 82 AD 05 02 81 88 kwa sasa hazipo
 
Nimefuata maelekezo yako lakini naona hazifunguki.. Irib tv3 na varzesh... Naona decorder nyingi zina key zakubonyeza ndo uweze ku apply key.. Hii inakuaje??
 

Attachments

  • 1429970825793.jpg
    1429970825793.jpg
    39.3 KB · Views: 169
Qsat 23g yangu imegoma kabisa
Option ulizonazo katika Q23G kwa sasa.
  • Tv streaming - iwapo una internet ya kasi, Hapo kuna free IPTV channel na Paid ITV Channel ambazo zinahitaji DQiptv
  • Waweza weka CCCAM - Canal Reunion & Parabora (16E) na ukafurahia HD channel
  • Waweza funga IRIB & FTA channel zingine na ukaendelea kufurahia Q23G yako
  • Youtube na site zingine sehemu ya Metwork
Hizi IKS decorder ni zaidi ya decorder ya kawaida kama MediaCom - Kwa sababu una option zaidi ya moja ya kutumia, Kikubwa ni kuwa na Dish la FT6 ili ufurahie zaidi

Karibu
NB: Kukiwa na Update ya account tutapeana taarifa
 
Nimefuata maelekezo yako lakini naona hazifunguki.. Irib tv3 na varzesh... Naona decorder nyingi zina key zakubonyeza ndo uweze ku apply key.. Hii inakuaje??
  • Je hapo kwenye bold unazungumzia REmote kutokuwa na key? mfano a,b,c etc
 
Qsat na Xmaster YOUTUBE haifunguki. Kuna maujanja ya kufungua hii kitu?
 
  • Je hapo kwenye bold unazungumzia REmote kutokuwa na key? mfano a,b,c etc

Hapana key zipo kwa kurudia rudia kubonye namba.. Wakati wa kuedit biss, kuna baadhi ya vitu nashindwa kuvijua..
1. CA type niliweka 2600
2. Biss comment: nikaacha COMMENT
3. Key provider: by default ni 00.. (zeros) nikaacha hivyo hivyo
4. Key type: nikachagua 16-bytes key
5. Key ID: nikaacha 00
6.kisha baada yapo ndio nika edit key kwa kuweka za irb 1111113311111133
7. Nika save

Baada ya hapo sijaona kitu..
Nilimaanisha decorder nyingine unaambiwa labda ubonye 8282, au 5212..kisha biss table inatokea.. Je kwa hii tunaapply vipi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom