Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Lolowapi yaelekea unanunua acc kwa Mwl RCT maana unachuki nae mbona qsat husemi kama mkanda

Nishatapeliwa kama 140,000 na huyu mwl.crt kununua accounts ndio na mimi nikasema sikubali wengine watapeliwe.nilichogundua jamaa ni silent killer anatumia kauli nzuri ila ni msanii wa kufa mtu.
 
lolowapi

Acha uzushi na uongo

Weka account hapa unazodai nimekuuzia.

Nina records ya accounts zote nilizouza

Tatizo lako unasahau comments zako za nyuma

Kila kukicha unakuja na jipya

JIREKEBISHE HUA HATUENDI HIVYO.
 
Last edited by a moderator:

Kama utanihakikishia utanirudishia hela yangu naiweka sasa hivi au hata conversation yangu na wewe kwenye simu before na baada ya kuniuzia kuonyesha usanii wako.
 
  • Ni vyema ukaweka, hata hivyo nikama umechelewa, Je ulikuwa ukisubiri nini?
  • Karibu
 
Nishatapeliwa kama 140,000 na huyu mwl.crt kununua accounts ndio na mimi nikasema sikubali wengine watapeliwe.nilichogundua jamaa ni silent killer anatumia kauli nzuri ila ni msanii wa kufa mtu.
Hahahaaa, umbea tu umekujaa hadi unatapeliwa hata huoni aibu.
Safi sana, tena kama huyo mwalimu hajakutapeli kweli nitachukia sana.
 
New Packages For 2015 ( Exclusive GRAND CCCAM )

A new CCCAM Server will be launched later this year and is an already existing in europe, the company now is set to start full operation very soon,
Code:
 http://jonesarena.blogspot.com/2015/03/new-cccam-server-coming-soon.html
 
Jana Qsat 23g imepotea kabisa hamna kinachoonekana..
  • Ni kweli kwa jana jioni ilikuwa OFFLINE
  • Ila kwa sasa ipo sawa
  • Hili ni tatizo kwa Server za VATAR, kufanya kazi na kukata.
  • Tusubiri ujio wa GRAND CCCAM kwa nchi za africa, Tutaisahau hii AvatarcamHD
Grand CCCAM official site
Code:
 http://grandcccam.com/
 
Unaruka ruka ikitoka grandcccam inakuja lolowapicccam kila siku account mpya wizi mpya.acha wizi kimachomacho nina uhakika hiyo account haitafanya kazi zaidi ya wiki 2 .maana huo ndio mchezo wenu kila siku kutoa account mpya ili mle hela za wajinga .wakija kushtukia mtachonwa moto .shame on you:
 
  • Kadri siku zinaovyoenda ndio jinsi unavyojidhihirisha jinsi usivyofahamu ulimwengu wa IKS unavyokwenda
  • Mfanye Google rafiki ili ujifunze na kuelimika zaidi
  • Inasikitisha kwa kweli, Pole sana.

Huyu lolowapi iñaelekea unachuki binafsi acha watu wapate update sisi wengine in watu was FTA we we nenda kalipe 168000 kwa mwezi. Sisi tukinunua tunajua kwamba Siku yoyote itakunya sisi kwetu Haya nikama maradhi yamesha tuingia
 
  • Kadri siku zinaovyoenda ndio jinsi unavyojidhihirisha jinsi usivyofahamu ulimwengu wa IKS unavyokwenda
  • Mfanye Google rafiki ili ujifunze na kuelimika zaidi
  • Inasikitisha kwa kweli, Pole sana.
  • Karibu

Wacha nikuache mkuu uendelee but soon watakubali ninachosema.cha umuhimu ni muda tu.walionielewa wamenielewa na wasioelewa tuwaache wasielewe.sitacomment tena thread hii nilitaka kuwafumbua watu waelewe kuhusu huu usanii.ila hii yote imetokana kwamba umenichukulia 140,000 kwa account zisizofanya kazi imeniuma sana.lakini tumuachie mungu ipo siku hiyo hela itakutokea puani.wewe si mkweli na ni tapeli .ningekuwa mod ningekupa ban ili kuwaokoa wengine.

Ila nakuonya acha utapeli hela zinauma huwezi kumuuzia mtu account ya sh 75000 kwa miezi sita halafu ikafanya wiki moja tu .halafu ni account mbili tofauti na karibu zako za kinafki.
 
  • Kadri siku zinaovyoenda ndio jinsi unavyojidhihirisha jinsi usivyofahamu ulimwengu wa IKS unavyokwenda
  • Mfanye Google rafiki ili ujifunze na kuelimika zaidi
  • Inasikitisha kwa kweli, Pole sana.
  • Karibu

Unapoendelea kuleta dharau halafu ushakula hela zangu kizembe angalia mkuu usijekupotezwa tu.
 
  • Ni kweli kwa jana jioni ilikuwa OFFLINE
  • Ila kwa sasa ipo sawa
  • Hili ni tatizo kwa Server za VATAR, kufanya kazi na kukata.
  • Tusubiri ujio wa GRAND CCCAM kwa nchi za africa, Tutaisahau hii AvatarcamHD
Grand CCCAM official site
Code:
 http://grandcccam.com/

Ina uzuri gani tuweke wazi mwalimu pls...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom