Kuna mtu kadai kuwa a1 cccam yake inafungua SS3, yangu haioneshi na wkend nilipitwa na games zote za SS3.
Huyo mtu kama akiiona huu ujumbe wangu anisaidie.Maana mimi jumamosi na jumapili ss3,ss5,ss7 zote kulikuwa hakuna kitu.Na mpaka sasa hivi ni hamna kitu kabisa.