Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Mkuu ulisema a1 iko stable mbn kwangu inakata sana na pia channel nyng bdo hazionyeshi ukiondoa ss3 kuna canal sat sipati,select 2 maximo 2, ss ea,
 
JINSI YA KUFANYA SOFTWARE UPDATE KATIKA DECORDER YA BEST HD4U
Kwanza download attached software , un_zip, kisha copy file na weka katika flash. Fuata hatua hizi nne (4)

  • Hatua ya kwanza
Step_1.jpg

  • Hatua ya Pili
Step_2.jpg

  • Hatua ya Tatu
​
Step_3.jpg

  • Hatua ya nne
Step_4.jpg

  • Update imekamilika na BEST HD4U ipo tayari kwa matumizi
Step_5.jpg
KUHUSU BEST HD4U

  • Ni decorder ya MPEG4, Full HD, DVB S2
  • Inakuja ikiwa na CCount mbili, hivyo server mbili tofauti- Zote zikiwa ni za mwaka mmoja.
  • Account hizo ni:-

  1. TV1 CCCAM kwa ajiri ya kufungua DSTV [Server 1] | Channel Line-up | na
  2. ZAP CCCAM hii inafungua ZAP EutelSat 35.9E [Serve 2] | Channel Line-up |

  • Pia decorder hii huja na HUAWEI 3G MODEM bure
UPATIKANAJI WA DECORDE HII
  • hii Wasiliana nami kwa simu namba | 0784 496 856
 

Attachments

jamiifprums_dec.jpg

Piga Simu 0784 496 856 ili kupata account yako ya CCCAM kwa ghalama nafuu

  1. DSTV- TV1 CCcam Au
  2. DSTV -A1star CCcam
Account zilizopo ni za muda wa Miezi 3 , Miezi 6 na Miezi 12
 
Jipatie DVB S2 /mpeg4 /HD receivers - for FTA, CANALSAT and DSTV
Aina za DVB S2 MPEG4 HD receivers zilizopo Sokoni:
  1. QSAT q23g
  2. BEST HD4U
  3. speed hd s1
  4. ALL IN ONE
PIA WASILIANA NAMI ILI KUPATA
  1. DSTV TV1 CCCAM &
  2. DSTV A1STAR CCCAM
Piga simu sasa 0784 496 856
 
Jipatie DVB S2 /mpeg4 /HD receivers - for FTA, CANALSAT and DSTV
Aina za DVB S2 MPEG4 HD receivers zilizopo Sokoni:
  1. QSAT q23g
  2. BEST HD4U
  3. speed hd s1
  4. ALL IN ONE
PIA WASILIANA NAMI ILI KUPATA
  1. DSTV TV1 CCCAM &
  2. DSTV A1STAR CCCAM
Piga simu sasa 0784 496 856

vipi Tv1 CCCAM imerudi online???
 
vipi Tv1 CCCAM imerudi online???
TV1 cccam ipo online

Kama imekata kwako , Fanya yafuatayo
  • Angalia upande wa internet, Yawezekana simcard iliyoweka kifurushi/ salio limeisha , Jaribu kubadili laini pia.
  • Pia angalia hiyo Tv1 account kama muda wake wa matumizi haujaisha.
KARIBU
 
ALL IN ONE [SUP](Call for price 0784 496 856 ) [/SUP]{ Mzigo umewasili Tayari na upo sokoni Tangu Tarehe 16/12/2014 }

A-ONE AONE HD GPRS DVB-S2 Satellite Receiver

>> one year free account for:

>> 36.0E Eutelsat 36B DSTV

>> 68.5E Intelsat 20 DSTV South Africa

>> 22.0W SES-4 Canalsat Afrique

>> Suppport cccam, newcam etc

>> Support IPTV

>> Call now for Price +255 784 496 856 and get ALL IN ONE as family XMAS & NEW YEAR GIFT
 
BEST HD 4U[SUP]New in Stock[/SUP][SUP][[/SUP][SUP]HOT[/SUP][SUP]][/SUP] - With FREE 1 year TV1 CCcam + FREE 1 year ZAP CCcam + FREE 1 3G HUAWEI Modem ( Just call 0784 496 856 for Price tag )
 
Mkuu,kwanza mnatumia terms ngumu,kwa mgeni wa haya mambo hawez kuelewa na ni ngumu kuwa interestd,wewe unaona ni rahs lakn nakushaur utafute lugha ambayo inakuwezesha kupata wateja weng wapya maana weng tunakmblia dstv
 
Mkuu,kwanza mnatumia terms ngumu,kwa mgeni wa haya mambo hawez kuelewa na ni ngumu kuwa interestd,wewe unaona ni rahs lakn nakushaur utafute lugha ambayo inakuwezesha kupata wateja weng wapya maana weng tunakmblia dstv
  • Nimekutumia PM ya ufafanuzi
  • Karibu
 
Seems uko smart,very sharp na responsv,kwasasa nimeelewa mkuu wang
 
Seems uko smart,very sharp na responsv,kwasasa nimeelewa mkuu wang
  • Karibu mkuu
  • Upande wa CCcam account zipo za Miezi Mitatu, Sita na Mwaka mmoja; Call 0784 496 856
 
INSTOCK
hos93ek9luu23njso0wj.jpg

BEST HD 4U[SUP]New in Stock[/SUP][SUP][[/SUP][SUP]HOT[/SUP][SUP]]
[/SUP]>> With FREE 1 year TV1 CCcam - Hii inafuyngua TV Channel hizi |
Channel Line-up
>> FREE 1 year ZAP CCcam -
Hii inafungua ZAP channel hizi | Channel Line-up
>> FREE 1 3G HUAWEI Modem ( CONTACT 0784 496 856 Now)
 
JIFUNZE JINSI YA KUSIKILIZA QURAN KUPITIA DECORDER YAKO YA ALL IN ONE (A1)

Hatua ya kwanza : Fanya Connection ya Internet - Waweza tumia 3G modem au Wireless Adapter
Hatua ya Pili : Fungua application unayotaka kutumia mfano QURAN, GMAIL, YOUTUBE n.k


JINSI YA KUUNGANISHA INTERNET KWA KUTUMIA WIRELESS ADAPTER


1. Chomeka wireless adapter katika ALL IN ONE decorder (A1)
2. Kwenye Remote yako bonyeza MENU Chagua Settings

20141222164122.jpg
3. Kwenye "System Setup" - Chagua "Network Setup"

20141222164139.jpg
4. Link Type chagua "Wifi Network" , Then chagua "Config"

20141222164208.jpg

20141222164424.jpg
5. Hapo kwenye Config chagua Wireless Network uliyonayo
20141222164438.jpg
6. Kwenye Autoconnect weka check Mark kisha chagua LINK na Bonyeza OK kwenye remote ili A1 iwe connected kwenye internet.
20141222164525.jpg

20141222164528.jpg

BAADA YA KUKAMILISHA INTERNET SETTINGS


1. Kwenye remote bonyeza MENU kisha chagua NETWORK

20141222164550.jpg
2. Chagua icon ya QURAN kisha bonyeza OK

20141222165416.jpg
3. Chagua sura unayotaka kusikiliza
KUHUSU ALL IN ONE { KWA UFUPI }​

ALL IN ONE {A-ONE au AONE} - Ni full HD, MPEG4, GPRS DVB-S2 FTA Satellite Receiver

>> iko loaded with Three (3) one year free account for:


>> 36.0E Eutelsat 36B DSTV


>> 68.5E Intelsat 20 DSTV South Africa


>> 22.0W SES-4 Canalsat Afrique


>> Suppport cccam, newcam etc


>> Support IPTV - Utapata FREE TV channel zaidi ya 450


UPATIKANAJI WA ALL IN ONE DECORDER

  • Wasiliana na Mwl.RCT kwa kuingia hapa |> Click HAPA !
  • Pia kama una swali, Comment yeyote waweza tumia hiyo link na utajibiwa au Piga 0784 496 856
 
INSTOCK
ALL IN ONE {A-ONE au AONE au A1} - Ni full HD, MPEG4, GPRS DVB-S2 FTA Satellite Receiver
>> iko loaded with Three (3) one year free account for:
>> 36.0E Eutelsat 36B DSTV
>> 68.5E Intelsat 20 DSTV South Africa
>> 22.0W SES-4 Canalsat Afrique
>> Suppport cccam, newcam etc
>> Support IPTV - Utapata FREE TV channel zaidi ya 450

Call: 0784 496 856
m_SAM_0216.jpg
 
Je wewe ni Mpenzi wa Youtube ?

Kama jibu ni ndio !

Basi Pata ALL IN ONE Receiver itakuwezesha kuangalia Music Video pamoja na Filamu kupitia Youtube


  1. Bonyeza MENU kisha chagua NETWORK
​
20141222164550.jpg

2. Chagua ICON ya Youtube , Kisha ingia kwenye Search na Andika Ukitakacho mfano Ally Kiba Mwana


20141222164825.jpg

3. Chagua katika list itakayojitokeza


20141222164901.jpg
 
Je wewe ni Mpenzi wa Habari Mtandaoni?


Kama jibu ni ndio !


Basi Pata ALL IN ONE Receiver itakuwezesha kusoma habari toka mitandao kama Yahoo , bila haja ya kutumia PC au simu



  • Kweny Remote Bonyeza MENU , Chagua NEWS' Hapo chagua channzo ukipendacho
20141222165304.jpg


  • Mfano Chagua Yahoo News
20141222165329.jpg


  • Endelea kupitia habari zilizopo
20141222165335.jpg


MAWASILIANO ILI KUPATA DECORDE HII
TIGO - 0717 54 57 62
AIRTEL - 0784 496 856

KARIBU
 
  • Je unahitaji kufungua Google Map kwa remote?
  • Kama jibu ni ndio !
  • Basi Pata ALL IN ONE Receiver itakuwezesha kutumia Google Map , bila haja ya kutumia PC au simu
Bonyeza Menu >> Network >> Chagua ICON ya google map Kisha serch Mji utakao
google.jpg

 
IPTV - katika ALL IN ONE Receicer
IPTV (Internet protocol TV )


- Ni huduma inayokuwezesha kuangalia TV channel zaidi ya 400 bila ya kuunganisha Dish


- IPTV inahitaji Internet -Hapa utahitajika kutumia Wireless au 3G USB modem kuunganisha internet


-Fungua hii link ili kujifunza zaidi kuhusu IPTV | IPTV - Wikipedia, the free encyclopedia



20141226065428.jpg


20141226065258.jpg


20141226065029.jpg


Mawasiliano

0717 54 57 62

0784 496 856


NIPIGIE SASA ILI UPATE DECORDER YAKO YA ALL IN ONE
 
Renew account yako ya cccam sasa - una machaguo mawili
  1. tv1 cccam &
  2. a1 cccam
nipigie 0784 496 856
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom