Jipatie DSTV kwa kutumia AZSKY Dongles

Jipatie DSTV kwa kutumia AZSKY Dongles

we bwana we! DSTV watakukamata sasa hivi. utaniambia
 
we bwana we! DSTV watakukamata sasa hivi. utaniambia

Wanikamate nimekosa nn mm na upgrade na kuwauzia watu receiver za kupata DST"
Pia kwa nn hazijafungwa wakati mwaka umepita sasa...Kumbe jibu ni Internet Key sharing kati ya server za DSTV na zile za AZSKY.

Tumechoka vya bei kubwaaaa
 
Aisee nahitaji hiyo kitu ila huku niliko Internet si ya kasi sana itawezekana kufanya kazi hiyo technology???
 
Aisee nahitaji hiyo kitu ila huku niliko Internet si ya kasi sana itawezekana kufanya kazi hiyo technology???

Works with 2G/3G na haitaji internet kubwa ndo maana nasema hata ukiweka <25MB au uelewa utakuta imekatwa 20shs kwa siku
 
Inaelekea usemacho ni kizuri, ila maelezo yako siyo clear na ni marefu, hasa kwa mambumbu kama mimi. Be brief and clear. Picha ni muhimu sana
 
Inaelekea usemacho ni kizuri, ila maelezo yako siyo clear na ni marefu, hasa kwa mambumbu kama mimi. Be brief and clear. Picha ni muhimu sana

Uwezi pata maelezo brief zaidi ya hapo mkuu images ziko page1 naona wewe umesoma page ya 2 pekee
Anzia mwanzo kusoma utaelewa mbona page bado chache
Na kama haujaelewa unauliza thats how we Learn
 
Wacha maelezo marefu Mkuu,

We sema unauza nini na ni Tshs ngapi?
Mfano hizo dongles + dish + receiver + makorokoro yake yote + installation ni Tshs ngapi total?
 
Wacha maelezo marefu Mkuu,

We sema unauza nini na ni Tshs ngapi?
Mfano hizo dongles + dish + receiver + makorokoro yake yote + installation ni Tshs ngapi total?

Na kweli kama kupigia debe sasa tosha na kilichobaki ni kuelezea kuwa ili ufaidi inabidi uwe na hiki na kile kitu inakuwa complete na ni Tsh ......

eBay nimeona kitu kama hicho.....

[h=2]2013 Africa FTA Satellite Receiver Azsky Dongle G1+Azsky GPRS Dongle[/h]Min. Order: 100 Pieces
FOB Price: US $1-30 / Piece
Supply Ability: 200000 Piece/Pieces per Month

Tags: Azsky Gprs Dongle | Azsky Gprs Dongle | Azsky Gprs Dongle
Contact SupplierOffline

Shenzhen Plute Hi-Tech Co., Ltd.
Contact Details
China (Mainland)
refine_icon_gold_suppliers.gif
 
Wacha maelezo marefu Mkuu,

We sema unauza nini na ni Tshs ngapi?
Mfano hizo dongles + dish + receiver + makorokoro yake yote + installation ni Tshs ngapi total?

Kutokana na kuwa G1,G2,G+ Zina limitation ya Kutoangalia HD channel zitoziagiza
Kumbe basi ntaagiza G6

Ili uweze kufaidi DSTV Kwa G6 basi utaitaji yafuatayo
  • AZSKY G6 Receiver
  • SIM CARD
  • DIsh la futi 3-6 eg la Eurostar
  • LNB ya HD
  • Fundi wa kukusearchia channel nakufunga Dishi uelekeo wa DSTV etc

    ALTERNATIVELY
  • AZSKY G6 Receiver
  • DISH
  • LNB ya HD
  • Ethernet wire i.e Kutoka katika router instead of SIM CARD
  • Fundi wa kukusearchia channel nakufunga Dishi uelekeo wa DSTV etc

    Kama haujaelewa hapo basi ntakuwa sina neno tena
 
Weka bei na unapatikana wapi?

Nimefanya 1st time order hivo sijajua itagharimu kiasi Gani siku ya kuclear na TRA
Lkn range ya receiver ni 250,000-270,000 kutegemea na makato

Kama unataka Receiver hizi weka Order mm napatikana Dar
Walio ni PM tu ndo zikifika ndo ntaapa Taarifa wakiwa wa kwanza
Ukiweka Order weka Na namba ya simu ili kama hautakuwa online nikupigie au nitume sms
 
hii inakupa channel ngap.na za mpira napata pia?
 
channel zipi unapata nina jirani yangu anatumia dstv je kama hajalipia unaweza ona na hyo g3 sijui? na mikoani mtufikirie basi
 
channel zipi unapata nina jirani yangu anatumia dstv je kama hajalipia unaweza ona na hyo g3 sijui? na mikoani mtufikirie basi

Mkuu G3 bado inafanyiwa Testing lkn ikiingia sokoni itakuwa inafungua channel zote za DSTV isipokuwa zile za High definition(HD) ambazo kwa Dstv wameziweka kwenye kifurushi cha compact sawa na 400$
Lkn kwa sasa ninauza Azsky G6 ambayo inauwezo wa kufungua HD channels zote na nyingine zote hivo ukiwa nayo uko sawa na mtu anayelipia kifurushi cha compact cha DSTV kila mwezi hivo kwa sasa ukitaka kununua nunua G6 sababu G1,G2 na G3 zinafungua channel zote isipokuwa HD channels.
Above all G3 ina uwezo sawa na Wi-Fi router hivo ukiweka modem kipindi unaangalia na mama watoto anaweza akawa Online na Komputer kipakatio au mwanao anakuwa na Samsung S4 yuko whatsapp wewe unacheki mechi ya Man U Vs Arsenal

oyn6q7ifgjyvtk18opfa.png
 
SAHIHISHO: G1 G1+ G2 G1 super na G3 zinaweza fungua hd chnls kama zitaunganishwa na rcva za mpeg4 hd.
 
SAHIHISHO: G1 G1+ G2 G1 super na G3 zinaweza fungua hd chnls kama zitaunganishwa na rcva za mpeg4 hd.

Ukifunga g6 unatumia peke yake au lazima utumie na receiver yoyote?
 
Back
Top Bottom