Jipatie DSTV kwa kutumia AZSKY Dongles

Jipatie DSTV kwa kutumia AZSKY Dongles

Ipi nzuri kati ya xmaster na G6?

Uzuri kwangu au kwa Fulani unaweza usiwe sawa
"A pumpkin to you may be a cake to me"

Nachotaka uelewe unaposema uzuri inabidi kuwa specific either muonekano,ku-unscramble channel,Kushika PayTV nyingi,Kula Bundle sana,Urahisi wa ku-renew account etc
Specify hapo nikupe msaada
 
15 More pcs in ma hands people
Kwa wale mlio mkoa wa Kagera kuna wakala wangu huko so nicheki hewani makazi yake ya Kudumu ni Muleba mjini lkn pia Bukoba mpaka Misenyi huwa anafika sababu ni Fundi madishi
 
wahi weka order yako,Jipatie DSTV kwa gharama ya receiver tu...Karibu sana
Kwa sasa mzigo unaokuja ni Xmaster,QSAT and Eclink zote nzuri na zinafeatures tamu zaidi ya G6

Heshima kwako MKUU pamoja na Maelezo yako mazuri LOCAL CHANEL napata zote? ili Niepukane na kiGHOROFA kdg cha VING'AMUZI Hom? na Ntakuwa nalipia kiasi gani kwa Mwezi!
 
Mkuu hizo accounts za CCcam tayari ushaanza kuuza na zinacost kiasi ghani kwa kila account?
 
Mkuu unanifurahisha kweli. ..yaani hiyo bata ya e.family...ha haa...ila kiukweli nimeipenda hiyo....nzuri sana
 
Mkuu hizo accounts za CCcam tayari ushaanza kuuza na zinacost kiasi ghani kwa kila account?

Hizi CCcam nazitafuta kwa Bei rahisi maana nimepata za Zambia wamenambia 130$ which is extremely expensive na hiyo ni bei ya kununulia sasa na mm nikitaka faida sijui itakuwa je mpaka naogopa.
Pili nimeongea na Chinese guy mmoja naona bei yake ya account ya mwaka ni around 70-80$ kutegemea na idadi unayonunua.
Mm nipende kuwapa ushauri Tunatumia hizi receiver kukwepa Mabepari DSTV wasitunyonye hivo nashauri watu kwa sasa msikimbilie Receiver zinazotumia CCcam account maana ni bei kidogo iko juu.
Lkn ukinunua Receiver kama AZSKY,QSAT, na Ec link X5 unakuwa na uhakika wa kupata Account na kununua kwa bei isiyozidi 80,000/= kwa mwaka ambayo iko extremely CHEAP
 
wale wa arsenal vs man u tupeni feedback mpira kwa hizi receiver hasa hasa Hii AZSKY G6 ndni ya HD inakuwa je?
Maana mm nikisema ntaonekana maneno ya biashara

Wish you a nice monday
 
Order ya Qsat Q11G imelipwa leo na ningependa kuwa brief hii QSAT ina features gani siku za baadae
AZSKY G6 zimebaki 4pcs ...mbili kuna watu wamedai kulipia kesho...hivo 2pc remaining
Hizo mbili zisipolipiwa kesho ntatoa Updates zichukuliwe na mdau mwingine
KARIBUNI
 
wahi weka order mzigo unafika Dar baada ya siku nne kwa njia ya DHL
m545.png
 
Free DSTV available via Ec Link X5..
ni sh ngapi hii kit
u

Ec link X5 bei ni 220,000/- kwa sasa sikushauri kuinunua Maana A+ na Ec Link x5 zime-affectiwa na Upgrade ya DSTV hivo zinashika channel chache na wengine azishiki na Suppliers wanaozisambaza wanasema mpaka Upgrade ktk server zao iishe ndo wataanza kuziuza
 
Mzigo umelipiwa Ushuru leo tunasubiri tu ukaguliwe na wale walioweka ORDER Kaa MKAO wa kula

yq0p.jpg
 
Wakuu Mbona kimya sana au mmeamua lugaidi peke yenu? Nataka nami nipate receiver 1. Ipi mnanishauri Nichukue?
 
Back
Top Bottom