leh
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 827
- 363
nimeona watu wengi wanaulizia kuhusu kuwa na animated avatar. while unaweza pata animations nyingi kwa kutumia google, hamna kitu kinafurahisha kama kuwa na custom avatar yako, yaani with ur own message/image. hivyo basi nimeonelea nitoe maelezo jinsi ya kutengeneza gifs kwasababu ni kitu simple kutengeneza kwa kutumia photoshop. kwa practice kidogo, unaweza tengeneza kitu kinachopendeza mno. hivyo bac, tuanze
picha huja in all sorts and sizes, na kwa hapa JF ukitaka animated gif, lazima uweke ambayo ina size ya 75*75 pixels. ikizidi hiyo size, haitakuwa animated hata kama both ni gifs. mfano
hii hapa itacheza kama avatar (size 75*75)
hii hapa haitacheza kama avatar (size 400*320)
*kwa tutorial zangu zote nitatoa kwa kutumia photoshop CS3 (ninatumia CS3 kwa laptop na CS5 kwa desktop) as the structure is the same kwa CS zote*
1.unavyofungua photoshop yako, new file weka size ya 75*75 pixels kama image yangu hapo (in the more advanced lessons, tutacompress size baada ya kazi yote)
2kwa tutorial la leo natumia neno langu leh na kwa hivyo nita duplicate layer mara mbili (kila herufi na layer yake) kama utatumia jina tofauti ongeza au punguza layers zako ipasavyo
natumia font iitwayo xenippa <--link size 66, jiskie huru kutumia nyingine
2. anza kwa kuficha layer visibilty za layers zote then fichua ya kwanza. chagua text tool na uandike herufi yako (in my case L) tunaficha layers ili uweze kufanyia kazi layer moja moja bila usumbufu wa zingine kuficha kazi
3. repeat and rinse step 2 mpaka uwe umeandika herufi zote
4. baada ya hapo kwenye photoshop menu yako chagua window>animation
5. utapata kitu kama hichi
6. kwa kutumia hiyo menu nilipoint hapo juu, chagua 'make frames from layers'. result zako ziwe kama hivi
7. rudi tena kwa menu ya animations uchague 'reverse frames' ili upate something like mine
8. badilisha time ya frame zote from 0 seconds to 0.2 seconds (unaweza weka different time rates kwa upendeleo wako on how fast or slow u want it) by clicking on the arrow showing time. bonyeza button ya play uone gif yako in action
9. nenda kwa psd menu chagua 'Save for Web & Devices' au ubonyeze alt+ctrl+shift+s. tayari gif yako
10. upload on JF Forums na ufurahie
(P.S gifs hazichezi na image viewer ya windows 7 au picassa au most picture viewing programs so usihofu isipocheza on ur PC)
Kesho nitacover tutorial 2 ambayo itaongelea kufanya images zicheze (kama avatar yangu)
tutorial 3 itahusu kuunganisha images and text kama hivi -->