Jipatie Custom Animated Avatar Yako HAPA!! (tutorial 1)

Jipatie Custom Animated Avatar Yako HAPA!! (tutorial 1)

hapo vp leh? gif.gif
 
mimi mwenzenu naona manyota nyota 2, nahisi mi mgen mitaa hii.
 
maneno mazuri yananitegaje.. :biggrin:
mpaka nitengeneze avatar ambayo itakuridhisha itabidi tubadilishane mawazo. nilikuwa nafikiri niweke jina lako ndani ya rotating circles. nimeweka "B" hapa ili upate idea yangu. hio hapo ni prototype tu, ili uone ninachofikiri. nipo kwenye pilka za kutafuta font unique na ninataka nijue kama ni idea nzuri au niscrap and start afresh. pia, ningetaka nijue rangi ambazo unapendelea nitumie kwenye circles na text. nimetumia lilac na black kwa example

156b6mv.gif

Sio mbaya dogo, natumai nitaipenda nawe utakuwa unazidi kujifunza.
Rangi weka itakayofanya maandishi yaonekane vizuri ila isiwe nyekundu.
Hayo maneno unaweza ukayaandika hivi:

BABA
MTU
Ili yakae vizur katika kiduara kimoja.
Unaweza weka neno BABA katika kiduara chake na neno MTU katika kiduara chake na kupata viduara viwili kushoto na kulia au juu na chini .


 
Aisee! hivi umejuaje leh ni dogo?
teh teh, Baba mtu bwana!

Angalia tarehe ya kujiunga humu jf kisha linganisha ya yangu ndo utajua nani mkongwe humu jf. Afu angalia utundu wa kutumia adobe fotoshop anaoufanya. Ni lazima atakuwa dogo miaka ya 1980 mwishoni. Vijana wa rika hilo wanachapa code kama hawana akili nzuri, vichwa vyao viko fresh, havina majukumu mengi.
Afu nawe dogo Endangered nawe mkorofi!!
 
teh teh teh,
samahani Baba Mtu, si unajua vijana wa siku hizi. aka dot com generation.
Shikamoo!
 
Last edited by a moderator:
maneno mazuri yananitegaje.. :biggrin:
mpaka nitengeneze avatar ambayo itakuridhisha itabidi tubadilishane mawazo. nilikuwa nafikiri niweke jina lako ndani ya rotating circles. nimeweka "B" hapa ili upate idea yangu. hio hapo ni prototype tu, ili uone ninachofikiri. nipo kwenye pilka za kutafuta font unique na ninataka nijue kama ni idea nzuri au niscrap and start afresh. pia, ningetaka nijue rangi ambazo unapendelea nitumie kwenye circles na text. nimetumia lilac na black kwa example

156b6mv.gif

Asente kwa tutorial.
I hope nimejifunza kitu.
Ila layers za p.s huwa zinanizingua namna ya kuzi-control.
Mfano nataka kufungua image(s) 3 ktk different layers, mara nyingi natumia trial & error zaidi ya kuflow namna niitakayo.
Natumaini umenielewa.
 
Back
Top Bottom