Infinity Solutions
Senior Member
- Apr 6, 2018
- 111
- 89
- Thread starter
- #21
Pole Sana, Muombe Muumba wako atakujaalia utapata hela ya kula ya hii ya Kujitibia. Pole Sana!Hela ya kula tabu tukanyooshe vinundu
Pole Sana, Muombe Muumba wako atakujaalia utapata hela ya kula ya hii ya Kujitibia. Pole Sana!Hela ya kula tabu tukanyooshe vinundu
InshallahPole Sana, Muombe Muumba wako atakujaalia utapata hela ya kula ya hii ya Kujitibia. Pole Sana!
Shukrani Sana Mkuu. Kuhusu Gharama zipo chini sana, kuanzia Tsh Elfu Kumi, Elfu Thelathini na Kuendelea depending na magnitude ya Tatizo na aina ya bidhaa husika. Asante.Umelitendea haki tangazo lako,ingekuwa kila tangazo lipo hivi ingependeza sana....Sijajua gharama tu hapo ndo kilichomis
Shukrani Mkuu, Vya Mkononi kwa sasa sina japo i wish tuone magnitude ya tatizo lako kiasi cha kushindwa kupunga huo mkono. Karibu sana.Vya mikononi mkuu kuna watu kidole kipo hivihadi tunaogopa kupunga mikono that way!!
By the way nimependa ulivyoekeza kwa kirefu na upana!!
Sent using Jamii Forums mobile app