shirima Mathias
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 451
- 1,335
Natamani nitoke na kamarelia kangu niingie nako taiwan nikakafunulie kat..ko hako kanesi kanidunge sindano. Nadhani sitouguamo tena
Mfyuuuuu. Pacha wangu huyo mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Samahani mkuu,huyo kwenye avatar ndio wewe? Wengine tuna hamu ya kukujua, tukuone angalau tuguse pindo LA vazi lako
Hahaha kwan mkuu we uko mkoa ganiMfyuuuuu. Pacha wangu huyo mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiwi cha macho... Kweli vigezo vya urembo vinatofautianaIla hizi tafiti sasa mmhhh!! View attachment 818553
KwakweliKiwi cha macho... Kweli vigezo vya urembo vinatofautiana
Nauona mdoliNi kitu gani hiko kwanza?
Naona ulifanyika Taiwan tuUtafiti ulihusisha mataifa mangapi?
Njia zilizotumika kufanyika kwa utafiti huu tafadhari.
Mimi mwenyewe nashangaa..sijui wameona kigezo gani apo?Acha utani ujue. Mrembo wa nini sasa hapo?? Sisi tuna manurse warembo kibao
Sidhani kama wamefikaSiungi mkono Hoja, Hao Watafiti wamefika kweli bongo apa