Jionee nurse mrembo dunia nzima

Jionee nurse mrembo dunia nzima

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
Sa anauzuri gani kwa mfano..nesi mwenyewe ni ngozi na mfupa..waje bongo waone mizigo..nakumbuka kuna nesi mmoja alinihudumia nilikua nimelazwa daah...aisee sijaonaga kifaa kama kile kwanza kimepanda hewani..pili rangi ya mtume tatu kiuno dondora..daah utatamani uumwe siku zote.
Mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kama kwao huyo ndo mrembo zaidi kiasi cha kudiriki kusema dunia nzima, sipati picha ya hao manesi wengine wa huko. Watakuwa ni maparachichi haswa
 
Kama kwao huyo ndo mrembo zaidi kiasi cha kudiriki kusema dunia nzima, sipati picha ya hao manesi wengine wa huko. Watakuwa ni maparachichi haswa
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Back
Top Bottom