Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Hamna kitu hapo,Hana hata chura!
Mh angalau kihamisa kina tupaja banaAna tofauti gani na Hamisa Mobeto
NakaziaHiyo tafiti waje na huku bongo warudie tena
Naona wanamaanisha dunia ya taiwanhivi mnamaanisha kitu ipi mnaposema dunia nzima??
mbona hana dimples......
Shangaa na weweKwa uzuri gan sasa hapo
NakaziaWeka picha yake mkuu ili tuthibitishe.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Natamani nitoke na kamarelia kangu niingie nako taiwan nikakafunulie kat..ko hako kanesi kanidunge sindano. Nadhani sitouguamo tena
Bado hawajakushawishi mzee wa churaHamna kitu hapo,Hana hata chura!
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Nadhani "duniani" ni jina la hospitali anayofanyia kazi. Asante.
Duh!!Mrembo gani huyu paja kama njiwa,sura kama parachichi
Sasa huyu ana urembo gani..maana nahisi haingii hata robo kwa huyo wa mloganzilaHuyu Millard wa Lumumba aondoe upuuzi wake. Nina kisu kipo hospitali ya Mloganzila huyo hagusi
UwiiiMbona paja lake kama la kuku
Wa kienyeji
Warudie tafiti zaoSa anauzuri gani kwa mfano..nesi mwenyewe ni ngozi na mfupa..waje bongo waone mizigo..nakumbuka kuna nesi mmoja alinihudumia nilikua nimelazwa daah...aisee sijaonaga kifaa kama kile kwanza kimepanda hewani..pili rangi ya mtume tatu kiuno dondora..daah utatamani uumwe siku zote.
Huyu akipita mtaani kwetu hata sigeukiIla hizi tafiti sasa mmhhh!! View attachment 818553
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Huyu akipita mtaani kwetu hata sigeuki
Umeona eeh....!!!Sasa huyu ana urembo gani..maana nahisi haingii hata robo kwa huyo wa mloganzila
wewe hapo kwenye avatar ndio ungekuwa nesiDuh!!