Jionee ndege ya kisasa ya Ethiopia ikiwa Nairobi

Mimi kila mara nikiona au nikipanda Ethiopia Airlines huwa nalia na kumuuliza Mungu sisi Tanzania tumekosea/tunakosea wapi?
Uwezi kufikia uzuni niliyo nayo sijui tulikosea wapi mpaka tukafika hapa tuna ndege moja tu.
 
Hiyo ndege ni nzuri sana na hongera kwa nchi ya Ethiopia. Isipokuwa next time msitupie picha ya cockpit Ikiwa imekaliwa na mtu ambaye kwanza sio rubani , pili mvuto ni F- sijui ametabasamu au analia,.....

Kaharibu kilakitu.
Kakalia kiti cha moto na mataa yamgofya.
 
Tanzania ktk awamu ya Tano tumedhamiria kununua kama hizi 2 kabla ya September.

Hizi ni kwa kuanzia.. Kabla ya 2020 zitakuwa sio chini ya 12.
Tanzania ktk awamu ya Tano tumedhamiria kununua kama hizi 2 kabla ya September.

Hizi ni kwa kuanzia.. Kabla ya 2020 zitakuwa sio chini ya 12.
mnashindwa kuongeaz kingereza mlicholifunza mpaka phd, mtaweza ea basi!
 
Kama taifa mkiwa na shirika imara LA ndege linaweza kuwa kama chanzo cha mapato na fedha za kigeni mfano mzuri ni Ethiopian airline,nchi ya Ethiopia hili shirika la ndege ndio linano changia kimapato ukiacha vyanzo vingine vya mapato.
 
Tanzania ktk awamu ya Tano tumedhamiria kununua kama hizi 2 kabla ya September.

Hizi ni kwa kuanzia.. Kabla ya 2020 zitakuwa sio chini ya 12.
Thubutuu hiyo ni Airbus baba sio ndege ya kitoto, kwa afrika mpaka sasa iko pekee
 
Mimi kila mara nikiona au nikipanda Ethiopia Airlines huwa nalia na kumuuliza Mungu sisi Tanzania tumekosea/tunakosea wapi?
Hata mi nanyamazishwa na wahudumu kama watano maana sijapewa jibu nani katulaani. Ethiopia wanatandaza reli za mwendokasi hapo nikifika nashikwa kizunguzungu mpaka zimamoto waninyanyue.'Tanzania ni yetu sote ila imetushinda
 
Tanzania ktk awamu ya Tano tumedhamiria kununua kama hizi 2 kabla ya September.

Hizi ni kwa kuanzia.. Kabla ya 2020 zitakuwa sio chini ya 12.

SWOT imefanyika lakini?

maana TT ikifanyika haiwezi batilishwa kama ifanyikavyo kwa ma-DC, DED, DAS!!
 
Wakati mwingine nasema labda mawazo yetu sisi vijana niya kisasa sana na wazee awayaoni tunayo yatamani.Katika ulimwengu huu wa utandawazi tungekuwa na shirika thabiti la ndege sekta yetu ya utalii nadhani ingepiga hatua sana.Pongezi kwa Raisi kwa kuliona hilo nakuagizia ndege Mpya pamoja na nia ya dhati yakufua tena shirika letu LA ndege.Ukweli unapokuwa safarini nakutua kwenye uwanja wa ndege na kukuta ndege za mataifa mbali mbali zimetua kuchukua abiria na kushusha abiria kuwapeleka kwai natamani sana na sisi yakwetu ingekuwa hapo.
 
Hata mi nanyamazishwa na wahudumu kama watano maana sijapewa jibu nani katulaani. Ethiopia wanatandaza reli za mwendokasi hapo nikifika nashikwa kizunguzungu mpaka zimamoto waninyanyue.'Tanzania ni yetu sote ila imetushinda
Tatizo cccm
 
Back
Top Bottom