brainmuscut
Member
- Mar 17, 2014
- 67
- 22
post zakuchambana zimekuwa utitiri nakuwatu humu wanafukuzia umaarufu kama alionao kahaba director Joan kule IG wenyewe humwita sijui nani Master sasa naona nahumu kunamtu anautaka kwa nguvu umaruufu huo hana udaku nondo amebaki naviabari vyepesi kama bambino