Jinsia ya money stuna

Jinsia ya money stuna

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,784
Reaction score
3,210
Uyu ni Me au Ke?
Mana umbea wote wa INSTA,blog,GP lazima awe wa kwanza kuposti
au ndo kazi yake
inayomuweka Mjini?
Samaanini lakini
#teamUmbea
 
Uyu ni Me au Ke?
Mana umbea wote wa INSTA,blog,GP lazima awe wa kwanza kuposti
au ndo kazi yake
inayomuweka Mjini?
Samaanini lakini
#teamUmbea
mdau kwan jinsia ipi imekuwa authorised na mambo ya IG,blog na izo GP???nadhani ni hulka ya mtu kama wew ulivyo na hulka ya kusoma post zake tokea huko
 
anaweza akawa me mwenye tabia za ke...ndio maana ulaya walihalalisha ushoga.. Wanaume tumebaki wachache sana
 
anaweza akawa me mwenye tabia za ke...ndio maana ulaya walihalalisha ushoga.. Wanaume tumebaki wachache sana
badiebey hebu tuweke sawa hapa maana wewe ndio wamjua vizuri mpenzio
 
Last edited by a moderator:
We acha kumtamani me mwenzako allah!
 
Binamu Money Stunna ebu pitia huku naona majina yetu yamekuwa dhahabu kama sio Diamond ,ahsante kwa kuutambua uwepo wetu na kuonekana kidizain kama tunawanyima usingizi , by the way nafasi bado zipo , na bado mnaweza kufanya kama sisi.
 
Last edited by a moderator:
Jaman siku zote hujagundua kuwa ni Mwanaume? au masihara
 
Hapo itabidi mleta mada uanze kufuatilia na jinsia za waandishi wa magazeti ya udaku
 
Hahahahhhhahha leo leo humu hapatatosha ila mtoa mada umenivunja mbavu aiseee
 
Back
Top Bottom