Jinsia ya money stuna

Jinsia ya money stuna

Umbea hauna jinsia. Halafu siku hizi habari zinasambaa ndani ya dk moja, vyanzo vyake ushavijua ni insta, blog na Gpl. Nadhani Money Stunna anapenda kufatilia maisha ya watu maarufu wa hapa Tanzania ndio maana inakua rahisi yeye kujua habari zao kutokea huko insta na website mbalimbali
 
Last edited by a moderator:
hata mm nashangaa kwa kweli sijui kitu gani kimeingilia hapa jf cc na mmu sijui kwanini
watu waanzishi thread za maana kutufundisha hapa na kutuechekesha wanaleta ukauzu tu

Hizi post za kusema watu Zimekuwa nyingi dah wapi BUBUji
 
Yah anajiamini na mwili wake si kila mtu anajiamini kihivyo kuvua tshirt wana JF wote wamuone....Wengine ukucha pia hawataki kuonekana!
Basi mi nilivyoona kusasambua ndo nikajua kama kwenye kitchen party!
 
kusasambua ni kuvua nguo!Na si lazima siwe zote!!
najua basi mimi49; si wengine tukisikia mwanaume anasasambua, basi hudhania anakuwa kama huyu jamaa mwenye pink t-shirt hapa chini:


sasambua.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mabig....job true true.....kumbe jinsia na kuleta habari humu JF vina uhusiano?
 
Back
Top Bottom