Wacha uwongoAndika jina lake kwenye karatasi halafu lichome huku ukitamka maneno haya"..........................."utamsahau haraka sana..
Inaonyesha bado unampenda ndo maana inakuwia vigumu kumsahau.mimi nilitendwa na mtu niliyekuwa nampenda sana.niliumia kuliko kawaida lakini nilivyoamua kuachana naye niliwaza mabaya yake tu nikamsahau kabisa kinachonisumbua ni sugu moyoni tu. Inaonyesha wewe umemuacha ilihali unampenda ndo maana unakumbuka nice moment mlipokuwa pamojaTatizo alikuwa ananifanyia mazuri mengi kuliko mabaya ila ali change ghafla na hii yote ilitokana na mm kwenda mbali kidogo kikazi kwa miez sita, kama zawadi alikuwa ananinunulia alinifanyia vitu vingi sana nikawa kama mtu niliye uteka ulimwengu kwa sekunde. Kumbe wanawake kubadilika ni kidogo tu dah sina ham.
Unakosa Mambo mazuri aisee..Moja ya kitu ambacho nimekua nyuma sana kwenye dunia hii ni suala la mapenzi. Mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi Niko nyuma kweli kweli.
[emoji23][emoji28][emoji23] [emoji122][emoji122][emoji122]Acha uzwazwa ww tafuta hela
A
Hahaha na akisema aiambie akili asimkumbuke ndo akili itakavyozidi kumkumbuka ss..[emoji23][emoji28][emoji23]Kumsahau mtu uliyempenda, ni sawa na kumkumbuka mtu usiyemjua
Nikazii tumeshajaribuKuwa busy na mambo yako... Iweke akili busy muda wote, ni ngumu ila utazoea..
Pole mwaya