Mambo ya kutafutiwa tena mkuu dah! Hapo kwangu ni mbinde mno na kuoa mpak kumpat mtu wa maana ni issue.Nilipigwa na mapenzi. Nilishindwa kupenda tena lakini niliangalia move moja inaitwa love come softly. Nika hamua kuwaambia wazee wanitafutie mke wa kuoa. Nika tafutiwa mke lakini siku mpendaga. Baada ya kukaa nae mwezi na wiki kadhaa nilimpenda sana mke wangu paka hii Leo nipo nae. Love come softly. Tafuta mke uoe kijana.
Hapana Mimi niliitaji mke. Siyo love story.Mambo ya kutafutiwa tena mkuu dah! Hapo kwangu ni mbinde mno na kuoa mpak kumpat mtu wa maana ni issue.
Time is the best healer ..Baada ya kipindi Fulani kupita utamsahau
Wewe umeweza kumsahau Evelyn Salt mkuu?[emoji30][emoji30][emoji30]Ila nadhani alikimbilia mahusiano mengine akiamini yatamsahaulisha...
Nakubali sana mkuu yaani ukiweka mikeka yako ukishtuka usiku unachukua simu kuingia live score tu kuhakiki mikeka ukiona inaenda frshh unalala unakuwa bize daily kama imetiki unakua bize kupanga matumizDawa ni kubeti to kadri mikeka inavyochanika utajikuta unamsahau tu unawaza mikeka
Ni upuuzi tu ndomana mbinguni wamekatazaUnakosa Mambo mazuri aisee..
Come make we go:Habari wakuu nilikuwa ninampenz ambaye tuliachana miezi 9 iliyo pita kiukweli nilikuwa nampenda sana. Aliufanya nione hii dunia yote niyangu japo kunawatu wanaitumia pia.
Niliweza kuiaga dunia hii ya mapenz baada ya kugundua anani cheat na anataka kunifanya ATM machine ila niliweza kui control akili yangu na kumuacha. Hapo baadae nilibahatika kupata mpenz mwingine kiukweli mpaka sasa penzi letu na huyu binti nilakibabe sana kulingana na kufikiria yule niliye kuwa nae vitu alivo nifanyia inanifanya nione na huyu niliye nae walewale tu.
Kuna moment ambazo huwa nikizifikilia kuhusu yule mpenz niliyekuwa nae napoteza matumain kabisaaaaa ya kuwa na mpenz permanent.
Yaan mpaka sasa natafuta njia ya kumsahau lakini nashindwa kabisaaa.
[emoji23] [emoji23] kweli kiongoziNakubali sana mkuu yaani ukiweka mikeka yako ukishtuka usiku unachukua simu kuingia live score tu kuhakiki mikeka ukiona inaenda frshh unalala unakuwa bize daily kama imetiki unakua bize kupanga matumiz
Ni upuuzi tu ndomana mbinguni wamekataza
Ni kweli kabisa..Man ,,Letting go is the only way to go !!.
Kama mikeka imesha chanika mno aisee juz kat tu Wigan alichana lakin kasi ya kumkumbuka inazidi.Nakubali sana mkuu yaani ukiweka mikeka yako ukishtuka usiku unachukua simu kuingia live score tu kuhakiki mikeka ukiona inaenda frshh unalala unakuwa bize daily kama imetiki unakua bize kupanga matumiz
Hapo kuna namna itabidi ufuate mbinu za kiasili mkuuKama mikeka imesha chanika mno aisee juz kat tu Wigan alichana lakin kasi ya kumkumbuka inazidi.
Wewe umeweza kumsahau Evelyn Salt mkuu?[emoji30][emoji30][emoji30]