Jinsi yakumsahau mtu uliye mpenda

Jinsi yakumsahau mtu uliye mpenda

Habari wakuu nilikuwa ninampenz ambaye tuliachana miezi 9 iliyo pita kiukweli nilikuwa nampenda sana. Aliufanya nione hii dunia yote niyangu japo kunawatu wanaitumia pia.

Niliweza kuiaga dunia hii ya mapenz baada ya kugundua anani cheat na anataka kunifanya ATM machine ila niliweza kui control akili yangu na kumuacha. Hapo baadae nilibahatika kupata mpenz mwingine kiukweli mpaka sasa penzi letu na huyu binti nilakibabe sana kulingana na kufikiria yule niliye kuwa nae vitu alivo nifanyia inanifanya nione na huyu niliye nae walewale tu.

Kuna moment ambazo huwa nikizifikilia kuhusu yule mpenz niliyekuwa nae napoteza matumain kabisaaaaa ya kuwa na mpenz permanent.
Yaan mpaka sasa natafuta njia ya kumsahau lakini nashindwa kabisaaa.

SO?
 
Unataka umsahau wakati na status vijembe vya whatsaap unaviona huwezi lazima uikane nafsi yako
 
M mwenyewe hapa nimekutana na kiboko yangu. Yani mpaka sometimes naumwa moyo kwa kumfikiria huyu mwanamke. Muda mwingine natamani niondoke niende mbali nikaanzishe maisha mapya lakini bado nashindwa
 
Tatizo alikuwa ananifanyia mazuri mengi kuliko mabaya ila ali change ghafla na hii yote ilitokana na mm kwenda mbali kidogo kikazi kwa miez sita, kama zawadi alikuwa ananinunulia alinifanyia vitu vingi sana nikawa kama mtu niliye uteka ulimwengu kwa sekunde. Kumbe wanawake kubadilika ni kidogo tu dah sina ham.
Assume amekufa tu,....
liaaaa ukinyamaza ndio imetoka hiyo utamsahau
 
M mwenyewe hapa nimekutana na kiboko yangu. Yani mpaka sometimes naumwa moyo kwa kumfikiria huyu mwanamke. Muda mwingine natamani niondoke niende mbali nikaanzishe maisha mapya lakini bado nashindwa
Kupenda ni kazi isiyokuwa na malipo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kuendelea kumkumbuka msichana mloachana kisa unampenda ni sawa na kusubiri ndege feri.kikubwa usipende kutembelea sehemu ulizozoea kwenda naye,wala usipende sana kukaa peke yako.ukikumbuka mabaya yake na kuwa busy na mambo yako utamsahau
 
Mnajibebisha sana ndo mana mnasalitiwa!mwanamke inatakiwa hata mkiachana usijisumbue nae fanya ishu zingine za ujenzi wa taifa.dume umlilie dem unatuaibisha sana.potezea km ulivyopotezea kunyonya kwa mama
yaani mwanaume kulia lia ..kulilia mapnzi nikujivunjia heshima aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom